Kwa Wajerumani ni ME sio KE. Fatherland.Je, ni kwanini? Na ni nchi zote duniani zinawakilishwa na pronoun "her"?
Brother only women can be beautiful, so nchi zimepambwa na mito, milima, mabonde, misitu na majangwa hivyo vyote kwa pamoja vinatengeneza ile beautyness hivyo basi kutokana na hilo nchi ni her because of its beautiness.Je, ni kwanini? Na ni nchi zote duniani zinawakilishwa na pronoun "her"?
Oh asante umenifungua akili. Je,mbona Ujerumani iwe tofautiKwa Wajerumani ni ME sio KE. Fatherland.
Nchi huitwa "HER" kwa sababu ardhi yake imezaa kila kitu tunachohitaji kimaisha. Nchi ni MAMA.
Binadamu, wanyama, mimea yote, na vitu vinginevyo, kama mali ghafi za kutengenezea nyenzo na nishati, hutoka ardhini.
Kwa kweli sijui kwa nini Wajerumani wameiita nchi ME.Oh asante umenifungua akili. Je,mbona Ujerumani iwe tofauti
Ship pia huitwa she/ her. Sababu za uzuri zinaingia hapo?Brother only women can be beautiful, so nchi zimepambwa na mito, milima, mabonde, misitu na majangwa hivyo vyote kwa pamoja vinatengeneza ile beautyness hivyo basi kutokana na hilo nchi ni her because of its beautiness.
Ahaa asante Mkuu ngoja nizidi kufuatiliaNinavyojua ni kutokana na nchi kutoa malazi na kuwalea watu wake ndiyo sababu inakua referred as her.
Kuhusu Ujerumani enzi za o level tuliaminishana kua kitendo cha Ujerumani kuiteka dunia kwa muda nadhani siku tatu ndiyo kilifanya isiwe referred as her.
Nikataka kuprove hiyo theory ila sikupata supporting documents kokote.
Ndo vidume wa Ulimwengu walikuwa those days Chezea Heil HitlaOh asante umenifungua akili. Je,mbona Ujerumani iwe tofauti