Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Mh.. Passion, u never know. Kwani tulijua kuwa itatengenezwa dawa ya kuongeza makalio? Usije ukashangaa unaambiwa kunadawa ya kunywa ili uwe mweusi. Binadamu kila siku anapanga mbinu za kumkosoa Mungu kwa matakwa yao binafsi.
heheheee!ukizidisha kipimo unakua
mweusi kama ubao lol!bora nibaki nilivyo!
hahahaa! Na ukisema upake tena mkorogo kwenye ublack wakufoji unadunda sasa hapo ndio utajua ujibebe na mbeleko gani.
umeona eeee
bora nibaki nilivyo
cha kugeuka kichekesho mbele za watu
akhaaa!
tena wala ucjaribu mwenzangu.. Coz ukimkuta aliyejikoboa haswaa wananuka nguruwe hao kama mzungu aliyechomwa na jua (wazungu mtanisamehe kama mpo humu)
hahaaa!kama vampire kazini
kwanini wanaume wanabeba vyuma kutunisha misuli?
Asante sana kwa majibu yako. Hapo nimesoma sababu tatu kubwa:Wanaume wanabeba vyuma ili kujenga misuli. Kujenga misuli kuna faida nyingi.
Moja ya faida ni afya bora kwa ujumla.
Ukibeba vyuma vizuri unajisikia vizuri.
Mwili unajengeka vizuri. Mwili ukijengeka muonekano wako unaboreka na nguo zinakukaa vizuri .
Nguo zikikukaa vizuri unapendeza. Ukipendeza unajisikia raha na furaha. Ukiwa na raha na furaha unajithamini zaidi.
Pia, ukijenga misuli nguvu nazo zinaongekeza. Nguvu zikiongezeka ustahmilivu (endurance) nao unaongezeka.
Zaidi, misuli iliyojengeka vizuri inapunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa osteoporosis.
3. Kuna sababu za self confidence na feeling good.
It makes sense. Mtu utakuaje na nguvu if you don't maintain the engine?Weight training ina boost sana self-esteem, confidence, can-do spirit, etc.
Pia inaboresha athletic performance. Moja ya sababu kubwa wanamichezo wetu hawafanyi vizuri kwenye mashindano mengi ya kimataifa ni kwa sababu ya ulegelege. Hawana nguvu kabisa.
Angalia tu hata kwenye Olympics. Marekani mara nyingi ndiyo huongoza katika kunyakua idadi kubwa ya medali. Iwe kwenye basketball, track and field, wrestling, weightlifting, boxing, judo, etc.
Hii yote ni kwa sababu huwa inapeleka wanamichezo waliojiandaa kweli kweli. Wengi wao huwa wanatokea college. College karibu zote Marekani zina gyms zenye weight room.
Practice regimen nyingi huhusisha weight training. Angalia mtu kama LeBron James au wale Williams sisters kwenye tennis. Zile ni physiques ambazo ni matokeo ya ku-spend some time kwenye weight room.
Hata Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo ilibidi a-adapt alipokuwa Georgetown la sivyo asingefika mbali.
It makes sense. Mtu utakuaje na nguvu if you don't maintain the engine?
BTT: wanawake wenye rangi kama yangu ambao wanaona rangi nyeupe ni bora
wanajiskia hovyo wakijiangalia. they feel prettier when they bleach up kidogo
Na kuna ambao kweli wanapendeza zaidi, though wengine not necessarily.
Kwenye hii picha Wolper anaonekana rangi yake ni ile ile mwili mzimasiyokujickia ovyo tu.. Wengine ni tamaa tu zimewajaa akiona flan ana colour yake white anapendeza basi na yeye atataka afananenaye hadi ukucha. Mfano, wolper kutaka kuwa kama amber rose