Hivi ni kwanini jamani?

NatJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
353
Reaction score
148
Hivi ni kwanini mtu anaamua kubadilisha rangi yake ya asili? Utakuta mtu amezaliwa mweusi tu bt akishafikia ile stage ya u sister du na usharobaro ghafla utamkuta amesha change colour ya mwili wake na kuwa white wengine ni mimama mijitu mizima utakuta imejichubua hata kuiangalia haifai.
Nataka kujua kama kuna sababu muhimu mpaka kupelekea mtu kuaribu rangi yake ya asili?
 

Attachments

  • Skin bleaching9.jpg
    18.5 KB · Views: 141
  • an-expert-makeup-guide-for-black-skin.jpg
    7.7 KB · Views: 628
Hawapendi maumbile yao, yaani wanatamani wangekuwa Wazungu....Hii ni dhihaka kwa muumba wao.
 
Ni pepo la kutojitambua na kujikubali. Nasema ni pepo!!!!!
 
Hawapendi maumbile yao, yaani wanatamani wangekuwa Wazungu....Hii ni dhihaka kwa muumba wao.

hata Mungu hapendi, angekuwa anapenda wasingedhurika kwakupata skin infection
 
Ni pepo la kutojitambua na kujikubali. Nasema ni pepo!!!!!

nikweli usipojitambua kila kitu utakiona kibaya kwenye mwilini akishachubua ngozi atatamani aweke macho ya bandia
 
Hawajui kwa mungu kila binadamu ni unique na mungu kampa utukufu kwa kumuumba alivyo.....Wanaona wenzao wamegeuka sura 4 ila bado wanatumia hayo madawa
 
Hawajui kwa mungu kila binadamu ni unique na mungu kampa utukufu kwa kumuumba alivyo.....Wanaona wenzao wamegeuka sura 4 ila bado wanatumia hayo madawa

acha kugeuka sura tu na ma cancer juu lakini bado wamo tu hawakati tamaa
 
wengine tunatamani kua black beauty
na mablack wanatamani kua white beauty lol!
hv nikitaka kua black nitapata mchina?haha

 
Mfano ulio hai ni WEMA SEPETU...

KABLA...



BAADA...

Hadi mishipa ya damu inaonekana.....subiri after 5yrs kama hatujamwonea huruma kwa upuuzi wake....hapa ni kama kuukimbia moto hakuna kurudi nyuma. Wema Sepetu wa kabla alikuwa wife material kabisa ila wa sasa hata wife kuzugia bado matratrizo
 
Hivi kuna mkorogo wa kumtoa mtu kutoka weupe kuwa mweusii?
 
mh!kwa hilo wamebug
ujanja huo hawana kabisa!


Mh.. Passion, u never know. Kwani tulijua kuwa itatengenezwa dawa ya kuongeza makalio? Usije ukashangaa unaambiwa kunadawa ya kunywa ili uwe mweusi. Binadamu kila siku anapanga mbinu za kumkosoa Mungu kwa matakwa yao binafsi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…