Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

tanzania raha sana unaweza kuja na hoja ya maana watu waichambue lakini kwa tanzania ukija na hoja wataanza kusapoti yule ulimsema kwenye hoja yako wengine watakuambia wivu wengine watakuponda wanamwacha fisadi raha mustarehe kwa upumbavu wakupishana maneno
 
Back
Top Bottom