Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,410
15,993
Nimekuwa nikiona kila dili chafu familia hi itatajwa kuhusika kwake directly or indirectly. Nimepita mahali humu humu JF nikakuta anahusishwa na dili la bandari jamaa alifika mbali akasema, hata hi DP World ni ya Ridhiwan "

Sasa najiuliza mbona kila dili chafu familia hi inahusishwa

Madili yanayohusishwa nayo

Madawa ya kulevya wapo

Home shopping center wapo

Hata huko Arusha inasemekana jamaa anamiliki mgodi wa Tanzanite ambapo mrangi mmoja kwa jina la Hussen Gomba ndiye anasimamia biashra hyo.

Huku Tena kwenye gasi wapo

Dili la Tegeta Escrow wapo

Vitalu vya uwindaji jamaa wapo

Viwanja na mashamba makubwa wapo

Magorofa na majengo marefu wapo

Viwanda vilivyopo Pwani kwao huko Bagamoyo nayo wanahusishwa navyo

Stand ya Sabasaba hapo Dodoma wanasema eneo hilo ni la Ridhiwani

Majumba mazuri huko Kigamboni Mbutu nayo nilisikia Ni ya kwao

Kwa kifupi ni kwamba kila dili lolote liwe chafu au safi wao wapo .

Je, Ni Kweli wanahusishwa kwa ushaihid au Ni wivu tu?

Nakaribisha mawazo kama kuna dili lolote unalifahamu kuhusisha kwake alfu
 
Nimekuwa nikiona kila dili chafu familia hi itatajwa kuhusika kwake directly or indirectly .nimepita mahali humu humu jf nikakuta anahusishwa na dili la bandari jamaa alifika mbali akasema ,hata hi dp world ni ya riziwani "

Sasa najiuliza mbna kila dili chafu familia hi inahusishwa

Madili yanayo husishwa nayo

madawa ya kulevya wapo

home shopping center wapo ..hata huko Arusha inasemekana jamaa anamiliki mgodi wa Tanzanite ambapo mrangi mmoja kwa jina la hussen gomba ndie anasimamia biashra hyo.

Madili Ni mengi mno

Huku Tena kwenye gasi wapo

Dili la tegeta escrow wapo

Vitalu vya uwindaji jamaa wapo

Viwanja na mashamba makubwa wapo

Magorofa na majengo marefu wapo

Viwanda vilivyopo pwani kwao huko bagamoyo nayo wanahusishwa navyo

Stand ya sabasaba hapo dodoma wanasema eneo Hilo Ni la ridhiwani


Kwa kifupi Ni kwamba kila dili lolote liwe chafu au Safi wao wapo .



Je Ni Kweli wanahusishwa kwa ushaihid au Ni wivu tu

Nakaribisha mawazo
Sio zote kuna baadhi wamepewa shares tuu na nyingine nyingi wametumika bila kujua
 
Nimekuwa nikiona kila dili chafu familia hi itatajwa kuhusika kwake directly or indirectly .nimepita mahali humu humu jf nikakuta anahusishwa na dili la bandari jamaa alifika mbali akasema ,hata hi dp world ni ya riziwani "

Sasa najiuliza mbna kila dili chafu familia hi inahusishwa

Madili yanayo husishwa nayo

madawa ya kulevya wapo

home shopping center wapo ..hata huko Arusha inasemekana jamaa anamiliki mgodi wa Tanzanite ambapo mrangi mmoja kwa jina la hussen gomba ndie anasimamia biashra hyo.


Huku Tena kwenye gasi wapo

Dili la tegeta escrow wapo

Vitalu vya uwindaji jamaa wapo

Viwanja na mashamba makubwa wapo

Magorofa na majengo marefu wapo

Viwanda vilivyopo pwani kwao huko bagamoyo nayo wanahusishwa navyo

Stand ya sabasaba hapo dodoma wanasema eneo Hilo Ni la ridhiwani

Majumba mazuri huko kigamboni mbutu nayo nilisikia Ni ya kwao


Kwa kifupi Ni kwamba kila dili lolote liwe chafu au Safi wao wapo .



Je Ni Kweli wanahusishwa kwa ushaihid au Ni wivu tu

Nakaribisha mawazo Kama Kuna dili lolote unalifahamu kuhusisha kwake alfu

Kikwete ni fisadi wa kuzaliwa; hii inatokana na kuwa alitoka kwenye familia fukara!! Madili yote machafu yeye baba mtu Jakaya ndio muasisi!! Kwa kifupi kwa wale wasiojua kuwa matatizo yote ya Kampuni ya IPTL yeye ndio aliyeyaleta ;

Kukodisha ndege AIRBUS mbovu kutoka kwa mturuki kulikofanywa na ATCL wakati Mataka ndio CEO , yeye alihusika na wale wanapolipwa lile deni in $$ na Serikali anapata mgao wake! Mambo machafu anayohusika nayo ni mengi hayaelezeki hata kule Samia kumpeleka Ridhwani kuwa naibu wizara ya Ardhi ilikuwa design yake baba mtu ili waweze kuhodhi Ardhi sehemu nyingi nchini!!

Anahusishwa pia na Kampuni ya mafuta ya Lake oil !! Ndio maana haishangazi kuona kampuni ya Mafuta ya LAKE OIL kuwa na petrol stations nyingi nchini hata sehemu za makazi ambapo kisheria hairuhusiwi kujenga hivyo vituo!!

Na bado hajaridhika ananyemelea madili mapya ya bandari kwani kupitia mgongo wa KARAMAGI alikuwa anapata mgao wakati TICTS wakiendesha hizo Bandari!!!!!
 
Kikwete na familia yake nafikiri Mungu amewateua kuwa 'stress releasers' wa watanzania wachache wenye wivu, roho mbaya, chuki, fitina, majungu, kila aina ya dhiki na wachawi......watu hawa hupata faraja isiyo kifani na hivyo kuondokana na stress zao za ugumu wa maisha, kwa muda, kila wanapowasema na kuwazushia jk na familia yake kwa kila jambo baya.

Akilini mwao huhisi kuwa kwa kufanya hivyo basi nao (kina jk) wataharibikiwa kimaisha kama wao; watanuka vikwapa kama wao; wataozeana meno kama wao; watanuka dhiki kama wao; watasambaratika kifamilia kama wao n.k.

Mwenyezi Mungu ni fundi saaaaaanaa; jk na familia yake wana'shine' tu siku baada ya siku, anawabariki hivyo ili wachawi hawa wapate ujumbe na shuhuda!
 
Back
Top Bottom