Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

We mbuzi, tutatafutia wapi kwa tabia zile za TRA? Hukamata dagaa na kuacha kambale wakiogelea bila hofu. Ukianzisha biashara kidogo tu mtaji wa 1m, TRA hawa hapa. Kodi 150,000/= mara TFDA 50000, huku leseni 35,000, kiongozi wa mtaa anataka 3000 kula mwezi mapato ya kijiji.

Haya yote ni kukusanya mapato kwa wanyonge wakati wenye biashara kubwa wanakwepa na hawafanywi lolote.

Leo serikali inachukua kodi hadi miamala ya maskini ya sh 5000. Huku wauza wauza magari hawalipi kodi.

Narudia, iko siku Tanzania tutagawana kwa kukimbilia.



Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Haya yote ni maneno ya waliyoshindwa. Haya Kaa hapo usubiri mapaka serikali itakapokurekebishia
 
Nimekuwa nikiona kila dili chafu familia hi itatajwa kuhusika kwake directly or indirectly. Nimepita mahali humu humu JF nikakuta anahusishwa na dili la bandari jamaa alifika mbali akasema, hata hi DP World ni ya Ridhiwan "

Sasa najiuliza mbona kila dili chafu familia hi inahusishwa

Madili yanayohusishwa nayo

Madawa ya kulevya wapo

Home shopping center wapo

Hata huko Arusha inasemekana jamaa anamiliki mgodi wa Tanzanite ambapo mrangi mmoja kwa jina la Hussen Gomba ndiye anasimamia biashra hyo.

Huku Tena kwenye gasi wapo

Dili la Tegeta Escrow wapo

Vitalu vya uwindaji jamaa wapo

Viwanja na mashamba makubwa wapo

Magorofa na majengo marefu wapo

Viwanda vilivyopo Pwani kwao huko Bagamoyo nayo wanahusishwa navyo

Stand ya Sabasaba hapo Dodoma wanasema eneo hilo ni la Ridhiwani

Majumba mazuri huko Kigamboni Mbutu nayo nilisikia Ni ya kwao

Kwa kifupi ni kwamba kila dili lolote liwe chafu au safi wao wapo .

Je, Ni Kweli wanahusishwa kwa ushaihid au Ni wivu tu?

Nakaribisha mawazo kama kuna dili lolote unalifahamu kuhusisha kwake alfu
Mti wenye matumda
Wivu
Mbinu kutoka Kwa opponents wao


Yaani kifupi hiyo familia imebarikiwa,hapo wenye husda wanatamani hata upigwe radi ifutike kabisa
 
Babu yetu Nyerere alipomzinguaga huyu Mkwere watu hawakuelewa kuwa mzee wetu aliona mbali sana.

Yule alikuwa na maono sana alishajua Mkwere ana tamaa sana na hastaili kuwa kiongozi wa taifa, ila walimwengu na ubishi wao wakaona wamuweke ona sasa tunavyopelekeshwa na vijitu vidogo na havina hata akili.
 
Kama kweli Mungu yupo, kuna siku atajibu tu. Huu uhuni wa kikwete ni janga kwa nchi hii. Wizi wowote wa kitaifa yumo hata kwa kushirikiana na wageni.

Kajenga majengo hadi vijijini kwa majina ya watu. Lingalangala anafahamu na kutumika pia.
His days are numbered.
 
Kosa kubwa alilofanya ni kuruhusu John kuwa rais akawageukia,, hii iliwarudisha sana nyuma na ndio maana sasa hivi "wanafidia" muda na rasilimali wazizopoteza,, haitatokea wakaruhusu wa kariba tofauti ya yao kuwa rais wa nchi hii,, never
Kwani hao wanaotawala NIGER na jana GABON walikuwa ndugu za watawala mafisadi na magenge yao?
 
Kama huelewi nenda shule ya kata ukasome siku hizi ni bure!! Halafu nyie vichwa nazi ndio mnalamba asali!!
Punguza makasiriko ugumu wa maisha yako sijasababisha mimi mlaumu mama yako hakufanya chaguo sahihi la mtu wa kuzaa naye,, turudi kwenye mada, pole,,
 
Bila kujali usahihi wa tuhuma ila ni utamaduni wetu.

Familia zilizofanikiwa huwa zinahusishwa na mambo ya ajabu ajabu tangu wakati wa nyerere tunaendelea kurithishana huo utamaduni.

Ni kama njia ya kuhalalisha kutokufanikiwa kwa msemaji kuwa hakutokani na uzembe bali aliyefanikiwa kuna njia mbaya anazotumia.

Angalizo: Nimeanza na bila kujali usahihi wa tuhuma.
 
Punguza makasiriko ugumu wa maisha yako sijasababisha mimi mlaumu mama yako hakufanya chaguo sahihi la mtu wa kuzaa naye,, turudi kwenye mada, pole,,
Mama yangu alifanya chaguo sahihi hakumchagua fisadi na mwizi kama mama yaka ; na ndio maana na wewe ni punguani , mwizi na fisadi mtoto!!
 
Back
Top Bottom