Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

Kikwete ni fisadi wa kuzaliwa; hii inatokana na kuwa alitoka kwenye familia fukara!! Madili yote machafu yeye baba mtu Jakaya ndio muasisi!! Kwa kifupi kwa wale wasiojua kuwa matatizo yote ya Kampuni ya IPTL yeye ndio aliyeyaleta ;

Kukodisha ndege AIRBUS mbovu kutoka kwa mturuki kulikofanywa na ATCL wakati Mataka ndio CEO , yeye alihusika na wale wanapolipwa lile deni in $$ na Serikali anapata mgao wake! Mambo machafu anayohusika nayo ni mengi hayaelezeki hata kule Samia kumpeleka Ridhwani kuwa naibu wizara ya Ardhi ilikuwa design yake baba mtu ili waweze kuhodhi Ardhi sehemu nyingi nchini!!

Anahusishwa pia na Kampuni ya mafuta ya Lake oil !! Ndio maana haishangazi kuona kampuni ya Mafuta ya LAKE OIL kuwa na petrol stations nyingi nchini hata sehemu za makazi ambapo kisheria hairuhusiwi kujenga hivyo vituo!!

Na bado hajaridhika ananyemelea madili mapya ya bandari kwani kupitia mgongo wa KARAMAGI alikuwa anapata mgao wakati TICTS wakiendesha hizo Bandari!!!!!
Huyu Mzee ndiye chanzo Cha serikali hii kwenda mzobemzobe, kuendelea kuishi kwa huyu Mzee ni hatari kwa ustawi wa nchi.
 
Watanzania wanaopenda umbea. Leo waambie Samia ndiye mmiliki wa DP world wote wataunga mkono.

Mtakufa maskini Wapumbavu nyie. Na umasikini hauishi kwa kumchukia tajiri, tafuteni pesa wekeni kwenye familia zenu.

Acheni majungu na Umbeya, Qmamake
We mbuzi, tutatafutia wapi kwa tabia zile za TRA? Hukamata dagaa na kuacha kambale wakiogelea bila hofu. Ukianzisha biashara kidogo tu mtaji wa 1m, TRA hawa hapa. Kodi 150,000/= mara TFDA 50000, huku leseni 35,000, kiongozi wa mtaa anataka 3000 kula mwezi mapato ya kijiji.

Haya yote ni kukusanya mapato kwa wanyonge wakati wenye biashara kubwa wanakwepa na hawafanywi lolote.

Leo serikali inachukua kodi hadi miamala ya maskini ya sh 5000. Huku wauza wauza magari hawalipi kodi.

Narudia, iko siku Tanzania tutagawana kwa kukimbilia.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Umekuwa Mungu ujue mwisho wa uhai wake? Tuambie Tarehe basi kama unaijua! Ikitokea tutakuamini kuwa wewe kweli ni mnajim!!
Kuna sehemu nimesema tarehe... Kwa taarifa yako kila binadamu ukiwepo wewe, yuko kwenye siku zake za mwisho za maisha yake.

Endelea kushangaa na ushangao wako....
 
Manabii wa uongo mko wengi!
Ndio hivyo. Hakuna aijuaye kesho. Magu alipiga jaramba akitaka katiba ibadilike aendelee kuongoza atakavyo.... Ziraili akamwambia No Way... Kawaacha kina Mzee Mwinyi na Kikwete wanadunda tu...

Hii misemo ya wahenga vijana wa siku hizi hamuwezi kuijua. Nyie sanasana mnajua mambo ya Kidali Po, kalale nacho.
 
Nimekuwa nikiona kila dili chafu familia hi itatajwa kuhusika kwake directly or indirectly. Nimepita mahali humu humu JF nikakuta anahusishwa na dili la bandari jamaa alifika mbali akasema, hata hi DP World ni ya Ridhiwan "

Sasa najiuliza mbona kila dili chafu familia hi inahusishwa

Madili yanayohusishwa nayo

Madawa ya kulevya wapo

Home shopping center wapo

Hata huko Arusha inasemekana jamaa anamiliki mgodi wa Tanzanite ambapo mrangi mmoja kwa jina la Hussen Gomba ndiye anasimamia biashra hyo.

Huku Tena kwenye gasi wapo

Dili la Tegeta Escrow wapo

Vitalu vya uwindaji jamaa wapo

Viwanja na mashamba makubwa wapo

Magorofa na majengo marefu wapo

Viwanda vilivyopo Pwani kwao huko Bagamoyo nayo wanahusishwa navyo

Stand ya Sabasaba hapo Dodoma wanasema eneo hilo ni la Ridhiwani

Majumba mazuri huko Kigamboni Mbutu nayo nilisikia Ni ya kwao

Kwa kifupi ni kwamba kila dili lolote liwe chafu au safi wao wapo .

Je, Ni Kweli wanahusishwa kwa ushaihid au Ni wivu tu?

Nakaribisha mawazo kama kuna dili lolote unalifahamu kuhusisha kwake alfu
Je, wenyewe wamekanusha na Mze wa makontena ya China anasemaje juu ya hili?
 
Watawala wa Africa hao kila fursa yao
 
Back
Top Bottom