asante na wewe uwe na sherehe njema
lakini mbona wengine walisherehekea jana na wengine leo ??
Kulia na kucheka zote ni kelele. Bora watu washereheke mingine waachie wenyewe wahusika. Wewe hayakuhusu.Kawaida ya hawa jamaa zetu...No concensus in all things!..
Jana mtaani kwangu limekuja basi kubwa lile leyland Albion la kizamani (sijui wamelipata wapi), eti linatafuta watu wa kwenda kuswali!.Watu wakawa wanajiuliza inakuwaje leo hadi waumini wanabembelezwa na kuletewa usafiri!
Ni vichekesho tupu!
Kawaida ya hawa jamaa zetu...No concensus in all things!..
Jana mtaani kwangu limekuja basi kubwa lile leyland Albion la kizamani (sijui wamelipata wapi), eti linatafuta watu wa kwenda kuswali!.Watu wakawa wanajiuliza inakuwaje leo hadi waumini wanabembelezwa na kuletewa usafiri!
Ni vichekesho tupu!
Hivi hiyo Idd yenyewe itakuwa siku gani?Wana jf wote tunawatakia njozi njema kuelekea sikukuu ya idd
Ipo kwenye ZaburHivi hii Idd ipo kwenye Koran?
Wengine wanaruhusu u-senge/gay/lesbian kanisani na wengine hawaruhusu-ku-consensus hiyoKawaida ya hawa jamaa zetu...No concensus in all things!..
Jana mtaani kwangu limekuja basi kubwa lile leyland Albion la kizamani (sijui wamelipata wapi), eti linatafuta watu wa kwenda kuswali!.Watu wakawa wanajiuliza inakuwaje leo hadi waumini wanabembelezwa na kuletewa usafiri!
Ni vichekesho tupu!
Wengine wanaruhusu u-senge/gay/lesbian kanisani na wengine hawaruhusu-ku-consensus hiyo
Wengine wanasali jumamosi wengine jumapili -consensus hiyo?
wengine wanaruhusiwa kuoa (viongozi) wengine hawaruhusiwi- consensus hiyo?
Acha pumba zako just grow up and tuache tufurahi kwa raha zetu ala

lete andiko la x'mass kwanza maana miezi mingi imepita bila kutoa majibu unakimbia kila siku.Sasa tuonyeshe kwenye Koran yenu kupitia ayats, ni wapi panasema Msherekee Idd Mubarak na Maulid?