Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
EID -UL-ADHA (sikukuu ya kuchinja) imebainishwa wazi katika qur'an na hata bible. Hiki ni kisa cha nabii Ibrahim alipooteshwa kuwa anamchinja mwanawe wa pekee nabii Ismail. Nae kwa kuamini kwani ndoto za Mitume nakuwa ni Wayhi (ufunuo ) toka kwa Mola. Alimchukua mwananwe na kwenda kumchinja. Hapo hapo Mola alimteremsha Kondoo na nabii ismail kwa kujuwa kuwa anamchinja mwananwe alipomaliza kuchinja aliona amemchinja kondoo na mwanane Ismail alikuwa amekaa pembeni.
Sasa waislam kwa kulikumbuka hilo ndio maana tunafanya siku hii ya Kuchinja.
Waislam wenye uwezo wanatakiwa siku hii wanatakiwa wacjinje mnyama mwenye miguu minne kama ngombe, kondoo, mbuzi na ngamia. Kisha nyama hiyo wanatakiwa waigawe katika mafungu matatu. Fungu la kwanza unaapa maskini, Fungu la pili unawapa jirani zako waliokuzunguka na la tatu unatumia wewe mwenyewe.
nafikiri nimekupa mwangaza mkubwa kuhusiana na siku hii ya kuchinja. Soma Bible, soma Quran imeelezwa vizuri sana.
maulid ni siku ya kuzaliwa rasul Mohammad s.a.w.