Hivi ni harali nyimbo za dini kupigwa baa?

Hivi ni harali nyimbo za dini kupigwa baa?

Kwa vile umeniambia wewe ni mnywaji wa pombe...mimi nakaa nje ya mada mkuu... kwa sababu najua pombe hukingia kwa utamu na vizuri wa hali ya juu ukiwa unasikiliza nyimbo za kanisani....kila la kheri mkuu

hahahaaaa mimi ni mnywaji sio mlevi ha ha haaaaa
 
Yaani kilichonileta humu ndani ni kuiangalia vizuri iyo "harali"
 
Sema injili kupigwa bar ni halali au ni dhambi? Usifiche kitu, kuwa muwazi mkuu. Hata mimi nasikia sana masongi ya church yakitwangwa ktk bar iwe uswazi hadi uzunguni.
 
Ukiona hivyo inawezekana ikawa vitu vyote ni haramu...Nyimbo, pombe na io Dini ambayo weyenyewe wameruhusu nyimbo zao zipigwe baa..... Akili haikubali mambo ya ibada yafanyike kwenye vilevi....kwa sababu mlevi akishalewa sote tunawajua....mikojo,matapishi...wengine mpaka kinyesi......
yesu hakuja kuokoa wema bali wny dhambi,na neno la mungu ni popote pale linahubiriwa,kazi kwenu akina fulani
 
lakini mbona za dini flani zenyewe hazipigwi,.!
 
Wengine wanaguswa na maneno ya hizo nyimbo halafu wanamrudia Mungu
 
nymbo zipi hzo?nymbo zenyewe zimekaa km za bongofleva sa kwnn isipigwe vilabuni?angalia km nymbo za sda na rc zinapigwa huko vilabuni?tafakari
 
nyimbo zenyewe zimetungwa kwa makusudio ya kupata pesa sio kwa kutangaza neno
 
Jina la YESU halina mashariti katika kulitaja, linaweza kutajwa na mtu yeyote,mahali popote na saa yoyote, ili yule asiyemjua apate kutambua kuwa kuna YESU atakaekuja kuhukukumu siku ya mwisho. ndio maana anatajwa mpaka bar kupitia nyimbo.
 
Back
Top Bottom