Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,705
- 36,154
Usitupe lawama kwa Rais aliyepo haya mambo yalikuwepo hata kabla yake.Siku zote serikali ikiongozwa na raisi asiyefuata katiba na sheria za nchi basi mkanyiko ni lazima utatokea tu maana kitakacho toka katika kichwa chake ndo sheria
Unakosea sana Mzee mishahara haiwezi kulingana kamwe kama unataka kuwalinganisha Watu wa halimashauri au Wizarani na kwenye Taasisi kubwa ambazo ndio zina generate mapato utazingua na uta create rushwa katika izo taasisi huwezi mlipa sawa degree holder wa TRA au Tanesco au Tanapa na Degree holder wa halmashauri lazima Gap ziwepo tuTunatakiwa watumishi wote wa umma wawe na mfumo mmoja kwenye kupanga mishahara. Kusiwepo na ubaguzi. Unapopanga mishahara minono kwa watumishi fulani na wengine inawapangia mishahara kondefu una maanisha nini?Kuna watumishi muhimu na wasio muhimu au?Vivyo hivyo iwe kwa watumishi wa sekta binafsi.
Rais hana mamlaka ya kumpangia mtumishi mshahara ila ana mamlaka ya kuzuia nyongeza ya mtumishi kwa miaka zaidi ya 5!!!!Umeandika pumba tupu!:
Unaelewa kuwa hakuna sheria inayokataza mtu kulipwa mshahara mkubwa kuliko Rais?Unaelewa kuwa Rais siyo chombo cha kupangia watu kiasi cha mshahara hata aagize kuwa hakuna mfanyakazi kulipwa zaidi ya million 10?
Mmeguswa kwenye KitongeNchi inaongozwa na washamba na malimbukeni hapa ndiyo msingi wa matatizo yote
Rais kuwa chief treasure haimfanyi awe juu ya sheria,kanuni na taratibu zilizopo zinazotawala mambo ya fedha ikiwemo ulipaji wa mishahara.Rais siyo chombo kinachopanga wala kusimamia mishahara ya wafanyakazi.Na Rais alipozuia nyongeza ya mishahara kwa watumishi kwa miaka mitano hakufanya hivyo kwa mujibu wa sheria.Alivunja sheria na hilo siyo suala la kujivunia hapa!Rais hana mamlaka ya kumpangia mtumishi mshahara ila ana mamlaka ya kuzuia nyongeza ya mtumishi kwa miaka zaidi ya 5!!!!
Kweli wewe pimbi.
Rais ni chief treasure, ana mamlaka yote juu ya fedha za umma. Ndio maana alitumia authority hiyo kuminya haki zetu watumishi.
Ndio udikteta unaoongelewa juu ya huyu rais!Rais hana mamlaka ya kumpangia mtumishi mshahara ila ana mamlaka ya kuzuia nyongeza ya mtumishi kwa miaka zaidi ya 5!!!!
Kweli wewe pimbi.
Rais ni chief treasure, ana mamlaka yote juu ya fedha za umma. Ndio maana alitumia authority hiyo kuminya haki zetu watumishi.
Jhwani ujho?Ana gubu, wivu, Roho mbaya, Roho duktna, yaani ni pepo mchafu
Hapana ila wewe ndio unawalipa mshaharaHivi wabunge ni watunishi waumma pia?
Sawa GREAT THINKERHapana ila wewe ndio unawalipa mshahara