Hivi Mtumishi wa Umma Akihamishwa Kutoka Taasisi A kwenda Taasisi P, Atalipwa Mshahara wa taasisi Anayohamia au Utasalia ule ule wa Awali?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Mfano mtumishi wa Umma labda Mhandisi kutoka TanRoads(Scale kubwa) anahamishiwa Halmashauri (Scale ndogo) Kwa sababu iwayo yeyote Ile,Je mtumishi huyu ataenda kulipwa mshahara kulingana na scale za huko anakohamishiwa au atabakia na mshara wa awali yaani private?

Maofisa Utumishi na Rasilimali watu na wale ambao wamewahi Kupitia hii scenario naomba majibu please.
 
Unahama na check number yako and therefore kwa muda na siyo permanent....... and therefore na mshahara wako . I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom