Hawauzi ndo hapo niliposhanga na mimi!Sasa wao SUA wanatusaidiaje kutoibiwa? Maana kama wanaishia kueleza matatizo na wasitupe ufumbuzi, ni bora kubadili chuo kiwe hatchery. Labda wewe uliyefika kwao unifumbue macho, SUA wanauza vifaranga?
SILVERLANDS!Wapi tunaweza kupata hiyo 1st generation ya kuroiler?
Thanks a lot. Nimewachungulia youtube naona wao wanazalisha SASSO. Una fununu na KUROILER?SILVERLANDS!
ndo wenye kibali cha kuwauza!
nao wanakuuzia 1st generation sio parents stock!
Naiona ni nafuu na bora zaidi kuliko haya matoleo ya sita na ya saba tunayopata mitaani!
Kwa silverlands wale kuku wao, genetically ni kwa ajili ya nyama na si mayai...SILVERLANDS!
ndo wenye kibali cha kuwauza!
nao wanakuuzia 1st generation sio parents stock!
Naiona ni nafuu na bora zaidi kuliko haya matoleo ya sita na ya saba tunayopata mitaani!
Sasso ni kwa ajili ya nyama, ni aina fulani ya broiler ambao wamewa improve genetically ku sustain mazingira yetu..Thanks a lot. Nimewachungulia youtube naona wao wanazalisha SASSO. Una fununu na KUROILER?
Pitia comment huko juu nimeelezea..Wapi tunaweza kupata hiyo 1st generation ya kuroiler?
Kwa kawaida kawaida kama unatarajia kuwatoa kuku wako ndani ya siku 35 watakugharimu 2.5kg za chakula kwa kuku mmoja mpaka anatoka...kuku wa broiler500 wanaweza kumaliza viroba vingap vya chakula toka vifaranga mpka kuuzwa?
Kwa kawaida kawaida kama unatarajia kuwatoa kuku wako ndani ya siku 35 watakugharimu 2.5kg za chakula kwa kuku mmoja mpaka anatoka...
Broiler hawana uchakachuaji, makampuni mengi yanazalisha mkuu...je kampuni ipi inazalisha vifaranga bora vya broiler?
Kwa nini hili swali limepuuzwa na mleta mada....?Je na hao wanaouza huko kwenye makampuni wanauzaje nao,?napenda kujua bei zao
naomba tu unielimishe mkuu kwnini hawa ndege wanauzwa bei ghali kiasi hiki,150,000 per each?? hapo hao wa 5 una 750,000 yani mbona kama sielewi...Hiyo gharama yake inatokana na nini hadi wawe hivyo? ni nyama yake tamu au hawapatikana Tz au vipi ki ukweli sielewi mimi.kwa atakaye hitaji bata bukini (goose) kwa Tsh 150,000/- each.tuwasiliane 0713246244.nipo mbezi beach dar es salaam.karibuView attachment 1096897
Silverland mkuu,1st generation breed ya Sasso inapatikana wapi hapa Tanzania?
Sasso ni kwa ajili ya nyama, ni aina fulani ya broiler ambao wamewa improve genetically ku sustain mazingira yetu..
Ukiwachukua kwa lengo la mayai, hutopata matokeo mazuri tofouti na vile utakavyofuga kuroiler...
Sent using Jamii Forums mobile app