Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,785
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,785 2,000
YANI HAPA NAPIGA TIKI YOTE ULIYOANDIKA NDO NILIAMBIWA!!

KUKU WA KIENYEJI MPK AFIKE MAHALI PA KUUZWA KWA 25,000 SI CHINI YA MIAKA MIWILI!
NA HATAZIDI KILO 2

KUKUNWA KIENYEJI ANALALIA KWA ASILI!
HATA UKIMTOTOLESHEA MAYAI, MWILI WAKE UNACHUKUA MUDA TENA KUANZA KUTAGA TENA!!
Kufuga kuku wa kienyeji ni kurudi nyuma zaidi.

Cha msingi ni kupata kuku chotara kwa watu sahihi .
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,785
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,785 2,000
N
Ahsante kwa swali zuri. Iko hivi hayo makumpuni makubwa wao huwa ndio wenye parent stock na hawawezi kukuuzia na ilitokea wanakuuzia basi huwa ni kwa kukuuzia kama nyama na si vinginevyo wanafanya hivyo kwa sababu ya kwamba ukipata huyo jogoo wa parent stock na ukienda kuwachanganya na kuku wako basi kuku wako watakuwa na uwezo mkubwa wa uzalishaji hivyo wanaliepuka hilo kwa sana maana wataua biashara yao.

Hivyo hao parent stock wakizeeka majogoo yote huchinjwa na hapo hufuatiwa na matetea ya parent stock baada ya siku 7~10 maana kwa siku hizo mayai yote ambayo ni fertilized yanakuwa hayapo tena.

Swali la pili, Makampuni tajwa hapo juu hayana second generarion bali wana 1st generation ambao ndio wanawauzia nyie ili nyie mkapate nyama au mayai pakee na sio kupata mayai na kuyapeleka hatchery kwa ajili ya utotoleshaji hivyo kuishia kupata second generation ambayo kwa performance inakuwa iko chini mno...

Kwa mfano. vifaranga wa 1st generation wa kuroiler na sasso wanaweza kukupa mayai 250 kwa mwaka lakni hao wa second generation wataishia kukupa mayai kati ya 80 mpaka 100 ambapo iko chini mno...

Na kwa upande wa nyama 1st generation anaweza kukupa kilo 1.8~ 2.2 za nyama kwa siku 56 tu wakati 2nd generation wanuwezo wa kukupa kilo 0.5~0.7 za nyama kwa siku tajwa hapo juu...

Siri kubwa ya kuku hawa ni kuwa kadli kizazi kinavyoshuka zaidi ndivyo performance iko chini mno...
Nakuelewa kuliko maelezo
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,908
Points
2,000
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,908 2,000
Hiki ulichoandika hapa nimekithibitisha SUA!!

Nilienda tu kujifunza kuhusu kuku!
MIONGONI MWA NILIYOSIKIA NI HILI ULILOANDIKA HAPA!!

exact the same!!
Mpk nikakumbuka hii thread!!
Sua was my Home of excellence, niko katika hii industry ya kuku kwa muda nimeona jinsi wazee na wamama wastaafu wanavyopigwa hela na wahuni hapa jijini...

Nimeleta huu uzi atleast waweze kuwa wadadisi na waepuke kuingizwa mjini maana unakuta mfugaji anatumia fedha nyingi mno katika matunzo halafu mwisho wa siku uzalishaji unakuwa chini...

Hapa ndipo ilipofikia mpaka industry ya kuku ikaonekana ya kitapeli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,785
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,785 2,000
yani nimejifunza kitu cha tofauti sana!
SANA SANA! ambacho dah!
sidhani kama watu wanajua hii information gap inavowaumiza!

NILIKUWA NIMESHAWEKA ORDER YA VIFARANGA KWA MTU!
mbona nimeshahairisha , nimejisubmit Silverlands , acha nisubiri hata miezi sita!
NTAFUGA TU, UFUGAJI WENYE TIJA THOUGH!
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,908
Points
2,000
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,908 2,000
yani nimejifunza kitu cha tofauti sana!
SANA SANA! ambacho dah!
sidhani kama watu wanajua hii information gap inavowaumiza!

NILIKUWA NIMESHAWEKA ORDER YA VIFARANGA KWA MTU!
mbona nimeshahairisha , nimejisubmit Silverlands , acha nisubiri hata miezi sita!
NTAFUGA TU, UFUGAJI WENYE TIJA THOUGH!
Umefanya jambo Jema sana. Pia usisahau ku share information kwa marafiki pia utakuwa umewasaidia kwa namna moja ama nyingine...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Helicobacter pylori

Helicobacter pylori

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Messages
403
Points
250
Helicobacter pylori

Helicobacter pylori

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2013
403 250
Somo zuri sana “mfupa adhimu”, Wafugaji wameshindwa kuelewa kabisa hili..na kukimbilia wale wanaorusha matangazo kwenye makundi ya mitandao ya kijamii...
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
16,691
Points
2,000
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
16,691 2,000
YANI HAPA NAPIGA TIKI YOTE ULIYOANDIKA NDO NILIAMBIWA!!

KUKU WA KIENYEJI MPK AFIKE MAHALI PA KUUZWA KWA 25,000 SI CHINI YA MIAKA MIWILI!
NA HATAZIDI KILO 2

KUKUNWA KIENYEJI ANALALIA KWA ASILI!
HATA UKIMTOTOLESHEA MAYAI, MWILI WAKE UNACHUKUA MUDA TENA KUANZA KUTAGA TENA!!
Umeongeza chumvi

Kuku wa kienyeji mbona tumefuga na wanazidi kg 2 ndani ya mwaka?!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Messages
900
Points
500
Age
36
O

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2012
900 500
Ahsante kwa swali zuri. Iko hivi hayo makumpuni makubwa wao huwa ndio wenye parent stock na hawawezi kukuuzia na ilitokea wanakuuzia basi huwa ni kwa kukuuzia kama nyama na si vinginevyo wanafanya hivyo kwa sababu ya kwamba ukipata huyo jogoo wa parent stock na ukienda kuwachanganya na kuku wako basi kuku wako watakuwa na uwezo mkubwa wa uzalishaji hivyo wanaliepuka hilo kwa sana maana wataua biashara yao.

Hivyo hao parent stock wakizeeka majogoo yote huchinjwa na hapo hufuatiwa na matetea ya parent stock baada ya siku 7~10 maana kwa siku hizo mayai yote ambayo ni fertilized yanakuwa hayapo tena.

Swali la pili, Makampuni tajwa hapo juu hayana second generarion bali wana 1st generation ambao ndio wanawauzia nyie ili nyie mkapate nyama au mayai pakee na sio kupata mayai na kuyapeleka hatchery kwa ajili ya utotoleshaji hivyo kuishia kupata second generation ambayo kwa performance inakuwa iko chini mno...

Kwa mfano. vifaranga wa 1st generation wa kuroiler na sasso wanaweza kukupa mayai 250 kwa mwaka lakni hao wa second generation wataishia kukupa mayai kati ya 80 mpaka 100 ambapo iko chini mno...

Na kwa upande wa nyama 1st generation anaweza kukupa kilo 1.8~ 2.2 za nyama kwa siku 56 tu wakati 2nd generation wanuwezo wa kukupa kilo 0.5~0.7 za nyama kwa siku tajwa hapo juu...

Siri kubwa ya kuku hawa ni kuwa kadli kizazi kinavyoshuka zaidi ndivyo performance iko chini mno...
Hiyo ni kanuni ya kawaida sana hata kwenye matikiti au nyanya au mazao yoyote yale, F1 ndo kila kitu
 
O

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Messages
900
Points
500
Age
36
O

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2012
900 500
Leo ningependa kuzungumzia Hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine...

Somo hili ni mahususi kwa wale wajasiliamali ambao wanakimbilia kununua vifaranga kwa watu hapa na walenga wale wanaofuga Kuroiler ama Sasso...

Kwa ufupi ni kwamba mmachezewa mchezo mchafu na baadhi ya wafugaji kwa kuwauzia vifaranga ambao ni kizazi cha pili ama tatu ambapo kuku hao perforamance yao iko chini mno tofouti na mnavyoaminishwa na hao wafugaji, mbaya zaidi wameenda mbali sana kuwauzia kwa gharama ya juu zaidi ambapo kihali inakuwa si sawa.

Labda nigusie kidogo hapa, Hawa kuku wazazi wa either Layers, Broiler ama Kuroiler/Sasso ni gharama sana kuwaingiza hapa nchini na pia uleaji wake unahitaji umakini mkubwa sana tofouti na hawa kuku wetu wa kawaida. Kwa makadrio tu kifaranga kimoja cha parent stock mpaka kuingia nchini kitakugharimu kati ya USD 15~20 hivyo ni ngumu kwa mtu wa kawaida kumudu gharama yake hivyo kupelekea makampuni makubwa kama silverlands, interchicks na mkuza chicks kuwa na kuku hao.

Baada ya kulelewa vyema kuku hao wazazi hutaga mayai na kupelekwa hatchery ambapo mayai ya broiler yatoa vifaranga vya kuku wa nyama ambavyo mtauziwa kwa lengo la kutoa nyama tu, mayai ya kuku wa mayai yatatoa kuku wa mayai kwa ajili ya mayai tu na mayai ya kuroiler/sasso vifaranga ambao watatumika kama kuku wa nyama au kwa ajili ya mayai pekee.

Sasa baadhi ya wafugaji hutumia mwanya huu kuwakuza hao kuku chotara na kupata mayai yao ambapo huyapeleka hatchery kutotoleshwa na kupata kizazi cha pili (2nd generation) na wao pia kuwauzia wafugaji wengine. Labda niwaambie tu hapa ndio huwa mnaibiwa maana performance ya kuku hao itakuwa chini sana kwa maana kwamba kuanzia utagaji, ukuaji utakuwa chini na pia kuku hawa hawatokaukiwa na magonjwa maana kinga yao ya mwili iko chini mno.

Mwisho: Kwa wafugaji ambao wangependa kuingia katika industry hii ningependa kuwataadharisha muache mara moja kununua vifaranga kwa wafugaji wa nyumbani maana mnatapeliwa mchana kweupe kwa kununua kuku ambao hawatokupa matokeo mazuri.

Kwa maana hiyo ningependa mnunue kuku hao katika makampuni makubwa ambayo yana Kuku wazazi (parent stock) mtapata matokeo mazuri tofouti na hao wa mtaani.

Maelezo yote nimefupisha katika mchoro hapo chini.

Kama kuna sehemu hujaelewa na utahitaji maelezo zaidi weka swali lako hapo nami nitakujibu.
Asante kwa somo zuri sana. Nina swali moja. Nikichukua hao chotara F1 kutoka kwa makampuni uliyotaja, alafu nikawakuza. Wakiwa wakubwa nikatenga jogoo mzuri kuliko wote nikamweka kwa kuku wangu wa kienyeji pure. Then hao chotara nikawauza wote. Abaki huyo jogoo awashughulikie tetea wangu wa kienyeji, si nitakuwa nimefanikiwa kuboresha kuku wangu wa kienyeji? Maana lengo langu nataka kuku wa kienyeji ila ambao watakuwa na miili mizuri
 
S

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Messages
547
Points
250
S

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2012
547 250
thread bora kabisa snowhite naomba ni pm communication za silverland
 
P

Pencil

Senior Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
155
Points
250
P

Pencil

Senior Member
Joined Jan 12, 2018
155 250
Ni watu wachache sana wenye nia njema kwa wajasiriamali wenzao kama huyu jamaa. Wengi wanapenda wabakie wao tu kubutua.
We jamaa ni mzalendo wa kweli. VIVA.
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,313
Points
2,000
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,313 2,000
Ahsante kwa swali zuri. Iko hivi hayo makumpuni makubwa wao huwa ndio wenye parent stock na hawawezi kukuuzia na ilitokea wanakuuzia basi huwa ni kwa kukuuzia kama nyama na si vinginevyo wanafanya hivyo kwa sababu ya kwamba ukipata huyo jogoo wa parent stock na ukienda kuwachanganya na kuku wako basi kuku wako watakuwa na uwezo mkubwa wa uzalishaji hivyo wanaliepuka hilo kwa sana maana wataua biashara yao.

Hivyo hao parent stock wakizeeka majogoo yote huchinjwa na hapo hufuatiwa na matetea ya parent stock baada ya siku 7~10 maana kwa siku hizo mayai yote ambayo ni fertilized yanakuwa hayapo tena.

Swali la pili, Makampuni tajwa hapo juu hayana second generarion bali wana 1st generation ambao ndio wanawauzia nyie ili nyie mkapate nyama au mayai pakee na sio kupata mayai na kuyapeleka hatchery kwa ajili ya utotoleshaji hivyo kuishia kupata second generation ambayo kwa performance inakuwa iko chini mno...

Kwa mfano. vifaranga wa 1st generation wa kuroiler na sasso wanaweza kukupa mayai 250 kwa mwaka lakni hao wa second generation wataishia kukupa mayai kati ya 80 mpaka 100 ambapo iko chini mno...

Na kwa upande wa nyama 1st generation anaweza kukupa kilo 1.8~ 2.2 za nyama kwa siku 56 tu wakati 2nd generation wanuwezo wa kukupa kilo 0.5~0.7 za nyama kwa siku tajwa hapo juu...

Siri kubwa ya kuku hawa ni kuwa kadli kizazi kinavyoshuka zaidi ndivyo performance iko chini mno...
Ahsante sana mkuu kwa elimu hii muhimu
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,313
Points
2,000
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,313 2,000
Hiki ulichoandika hapa nimekithibitisha SUA!!

Nilienda tu kujifunza kuhusu kuku!
MIONGONI MWA NILIYOSIKIA NI HILI ULILOANDIKA HAPA!!

exact the same!!
Mpk nikakumbuka hii thread!!
Mkuu naweza kuja Pm
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,313
Points
2,000
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,313 2,000
Asante kwa somo zuri sana. Nina swali moja. Nikichukua hao chotara F1 kutoka kwa makampuni uliyotaja, alafu nikawakuza. Wakiwa wakubwa nikatenga jogoo mzuri kuliko wote nikamweka kwa kuku wangu wa kienyeji pure. Then hao chotara nikawauza wote. Abaki huyo jogoo awashughulikie tetea wangu wa kienyeji, si nitakuwa nimefanikiwa kuboresha kuku wangu wa kienyeji? Maana lengo langu nataka kuku wa kienyeji ila ambao watakuwa na miili mizuri
Jibu la swali ili ni muhimu sana kwangu pia.
 
C

Collinsteve

Member
Joined
Mar 19, 2019
Messages
15
Points
95
C

Collinsteve

Member
Joined Mar 19, 2019
15 95
Acha kupotosha watu. Yaani hapo kwenye kuchambua f1 na f2
F1, ni uzao ilio toka kwa kizazi olijino ambayo ndio parents stork, na kizazi hiki kitakua na uwezo kama ilivyo parent stork.

Na f2 ndio hivi hawa wa mtaani. Unakuta kuku f1 wanacross na hawa wetu wa kiswahili unakuta ndio wanatoa chotara aliye changanyika kwa baba na mama so wengi waliopo mtaani ni f3.

Sasa ukisema kua parents stck ikizeeka wanachinja je uko wanakochukua parents stock inatoka wap. Parents stock inatoka kwa kizazi ambacho ni F1 wakiona hawa wanakaribia kuzeeka wanaanda kizazi kipya. Ikiwa kama wanachinjaa tuu ata huko wanakotoka wote wangechinjwa na kizazi kingeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
657
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
657 1,000
Asante kwa ushauri ,mimi nahitaji kuku chotara iyo first generation je hayo makampuni makubwa wanauza vifaranga vya mwezi mmoja au wanauza vya siku tuu.?
Kufuga kuku wa kienyeji ni kurudi nyuma zaidi.

Cha msingi ni kupata kuku chotara kwa watu sahihi .
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
657
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
657 1,000
Ba
Sua was my Home of excellence, niko katika hii industry ya kuku kwa muda nimeona jinsi wazee na wamama wastaafu wanavyopigwa hela na wahuni hapa jijini...

Nimeleta huu uzi atleast waweze kuwa wadadisi na waepuke kuingizwa mjini maana unakuta mfugaji anatumia fedha nyingi mno katika matunzo halafu mwisho wa siku uzalishaji unakuwa chini...

Hapa ndipo ilipofikia mpaka industry ya kuku ikaonekana ya kitapeli...

Sent using Jamii Forums mobile app
naomba unambie ni kampuni ipi nitapata kuku chotara f1 kiurahisi kwa dar
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,908
Points
2,000
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,908 2,000
Ba
naomba unambie ni kampuni ipi nitapata kuku chotara f1 kiurahisi kwa dar
Kwa dar, vifaranga wa interchick wako vizuri pia wale wa AKM Glitters wako vizuri...

Mtafute Dr Kessy 0712253102 ni agent wao, atakupa maelekezo yote cadey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
657
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
657 1,000
Kwani inachukua muda mrefu kupata vifaranga.?
yani nimejifunza kitu cha tofauti sana!
SANA SANA! ambacho dah!
sidhani kama watu wanajua hii information gap inavowaumiza!

NILIKUWA NIMESHAWEKA ORDER YA VIFARANGA KWA MTU!
mbona nimeshahairisha , nimejisubmit Silverlands , acha nisubiri hata miezi sita!
NTAFUGA TU, UFUGAJI WENYE TIJA THOUGH!
 
Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top