snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,707
- 23,635
Hawauzi ndo hapo niliposhanga na mimi!Sasa wao SUA wanatusaidiaje kutoibiwa? Maana kama wanaishia kueleza matatizo na wasitupe ufumbuzi, ni bora kubadili chuo kiwe hatchery. Labda wewe uliyefika kwao unifumbue macho, SUA wanauza vifaranga?
walinielekeza tu pa kununua!
Hao kuku walionao wawanawafanyia utafiti, pengine ndo wanaweza kuzalisha vifaranga!
Huko silverlands kuweka order yakupata vifaranga ni issue ya muda mrefu!
But its worth waiting!