Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

Sasa wao SUA wanatusaidiaje kutoibiwa? Maana kama wanaishia kueleza matatizo na wasitupe ufumbuzi, ni bora kubadili chuo kiwe hatchery. Labda wewe uliyefika kwao unifumbue macho, SUA wanauza vifaranga?
Hawauzi ndo hapo niliposhanga na mimi!
walinielekeza tu pa kununua!
Hao kuku walionao wawanawafanyia utafiti, pengine ndo wanaweza kuzalisha vifaranga!
Huko silverlands kuweka order yakupata vifaranga ni issue ya muda mrefu!
But its worth waiting!
 
KUSUBIRI KUPATA 1st generation KUTOKA KWENYE HAYO MAKAMPUNI MAWILI YALIYOIDHINISHWA ni MUHIMU SANA since
sio tu issue ya kuwa kizazi cha kwanza!
But HAWA WANAWAPA CHANJO YA SIKU YA KWANZA INAYOITWA MERECK( sina hakika kama nimepatia spelling )
hii chanjo ni very expensive , wanaozalisha vifaranga wengi huwa hawapigi kuku wao chanjo hii maana ni lazima ipigwe kuanzia kwenye vifaranga 1000 kwenda juu au waungane wapeleke kwa wanaopiga chanjo hiyo wawalipe kwa kifaranga kimoja kimoja!
OF WHICH GHARAMA YA KIFANRANG ITAONGEZEKA

matokeo yake wanaamua kutoipiga kwani wengi huona ni hasara!
Ukikuta amekwambia ili ujiongeze ni nafuu!
Wengi hawasemi!
so ubora wa kuku unazidi kufifia!
Hence uzalishaji unakuwa duni tofauti na ulivyotarajia au unavyoamini!
 
SILVERLANDS!
ndo wenye kibali cha kuwauza!
nao wanakuuzia 1st generation sio parents stock!
Naiona ni nafuu na bora zaidi kuliko haya matoleo ya sita na ya saba tunayopata mitaani!
Kwa silverlands wale kuku wao, genetically ni kwa ajili ya nyama na si mayai...

Hapo nazungumzia wale sasso, ukiwafuga kwa madhumuni ya mayai hutopata matokeo mazuri kama kwa kuroiler...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OS Cordis
silverland wanauza broiler?na kama sio silverland naweza nunua wapi ili kupata matokeo bora zaidi?
kati ya broiler na kuloirer(kwa mayai) kama mtaalam unamshauri mtu afanye option ipi?

unawaongeleaje sasso?mkuu pm....🙏
 
vifaranga bora wa sasso tunapata silverlands, nikihitaji kuroiler wa uhakika (F1) niwaone kampuni gani?

ukiachana na sasso na kuroiler, ni breed gani ya kuku chotara ina sifa nzuri ama za utagaji au nyama.
 
kwa atakaye hitaji bata bukini (goose) kwa Tsh 150,000/- each.tuwasiliane 0713246244.nipo mbezi beach dar es salaam.karibuView attachment 1096897
naomba tu unielimishe mkuu kwnini hawa ndege wanauzwa bei ghali kiasi hiki,150,000 per each?? hapo hao wa 5 una 750,000 yani mbona kama sielewi...Hiyo gharama yake inatokana na nini hadi wawe hivyo? ni nyama yake tamu au hawapatikana Tz au vipi ki ukweli sielewi mimi.
 
Sasso ni "both purpose " yaani ni kwaajili ya nyama na mayai.

Iko hivi : Sasso wa old day hadi 28th day wanakula starter. Baada ya hapo mfugaji ndo anaamua amfanye awe wa nyama pekee au wa mayai.

Akitaka kumfanya awe wa nyama,atatakiwa kumpa chakula cha broiler (si lazima cha dukani,unaweza kuchanganya ).Baada ya mwezi na nusu (yaani kutoka alipofikisha 28days ). Jumla ni miezi miwili na nusu unawezakumuuza.Anakua ameshafikisha 1.8 -2.5 kg.

Na ukitaka kumfanya atage mayai huna budi kumpa chakula cha layers,baada ya miezi minne ataanza kutaga.

Nb: maelezo haya nimepatiwa na ma -officer wa SILVERLAND nilipohudhuria 2019 POULTRY SHOW iliyofanyika sabasaba Dar
Sasso ni kwa ajili ya nyama, ni aina fulani ya broiler ambao wamewa improve genetically ku sustain mazingira yetu..

Ukiwachukua kwa lengo la mayai, hutopata matokeo mazuri tofouti na vile utakavyofuga kuroiler...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom