Hivi ndivyo sayari ya Mars inavyoonekana

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Ina nipa matumaini kuwa kuwa na uwezekano mkubwa wa binadamu na viumbe hai wengine kwenda kuishi huko kama vile mtu anavyo amua kutoka sehemu moja kwenda nyingine;nafikiri sayari ya Mars(Sayari nyekundu) itakuwa ni sehemu mojawapo pia.

Big up to NASA and their partners.

Rover.jpg

Mars.gif
 
kwa hiyo mkubwa watu wanajipanga kupaisha juu crdb,exim,nbc,century plaza,maland cruiser,vp kuhusu bugando,kcmc na maujanja yoooote ya msingi
 
Ni kuhangaika bure tu. Hakuna la maana hapo. Wamekosa kazi za kufanya, na kwa kuwa wanatengeneza hela, basi tu wanalazimika kufanya upuuzi huo
 
Siku wakikutumia Intercontinental rocket toka texas kuja eneo fulani tz kuangamiza wale wote wanaopinga sera zao ndo utajua kama hili lote ni upuuzi au la!
 
safi sana wanasayanzi wa NASA ni upuuzi tu na ujinga wa watanzania tunawaza mambo madogo sana na tena yaliyotawaliwa na akili za kinape nape hazifikiriii mbele
 
semeni tu huu niupuuzi ila akili itawakaa sawa pale wamarekani watakapoitangazia dunia kuwa sayari ya mars ni jimbo la america
 
safi sana wanasayanzi wa NASA ni upuuzi tu na ujinga wa watanzania tunawaza mambo madogo sana na tena yaliyotawaliwa na akili za kinape nape hazifikiriii mbele

nawashangaa watu wanaowaponda, wakati bila wao hata tusingejua kama kuna kitu kinaitwa mars mpaka dunia inakwisha.
 
ukitaka kusafili hua tunaangalia rate of time toka dunia hapa tulipo hadi mars kuna chombo kinacho safiri kasi zaidi lakini kilitumia miaka saba kufika kule huo si umri wa mtoto aliyeanza kujitambua kama yeye ni nani swali langu kwa hivyo vifaa vitatumia siku ngapi kufika mars
 
watu wanafiria zaidi ya akili za wengine zilipofikia Marekan mpaka sasa ashajitangazia Mars ni sehemu yake hakuna wa kugusa mahali hapo kwa taifa jingine, Changamoto kubwa wanayokumbana nayo ni upatikanaji wa maji maana bila uwepo wa maji hakuna maisha na siku wakipata H2O shughuli imeisha.
 
sio lazima kuishi wanaweza kwenda kuvuna mali asili madini ya ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom