Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,931
- 7,760
View: https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU
“The first ever president to elect herself”
Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena!
Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa.
Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
Ukimwangalia huyu mwanamke unajua kabisa sisi waTanzania tuna matatizo makubwa, kwanza hatuthamini maisha yetu, tunaishi tu. Huyu mama CV yake tu, na kwa vipi katoboa kuwa Makamu wa Rais, she failed in school, ammried at 17 yrs of age, as a third wife, to form a polygamous concubine. Leo anakua Rais wetu. Akina Mama Ntilie wangapi bora kuliko huyu?
Hata aibu hana, that is a big difference, mtu mwenye akili timamu hangesimama na kufanya haya mambo anyofanya. Hata hao akina JK na Rostam (enablers) hata aibu awana. Kumweka mpinzani wa maana ndani na kushangilia haya mambo