Hivi ndivyo operation ukuta itakavyokuwa

Hivi ndivyo operation ukuta itakavyokuwa

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,584
CHEZEA NGUVU YA UMMA HEBU TUKUTANE 1 SEPTEMBER
download.jpeg
 
CHADEMA ingekuwa chama cha UMMA ningeshiriki maandamano bila kuogopa
Lkn sasa CHADEMA ni chama cha hovyo hovyo kabisa
Wanatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakipata nafasi wanateuana wao kwa wao
Tukipaaza sauti zetu wanatupuuza
Nikagundua kuwa kazi ya mwana CHADEMA Kyela kumbe ni kuandamana tu,hasikiliziwi
Maandamano ya CHADEMA Sept 1 YAPUUZWE
 
kwanza nyie viongozi wa chadema ni waoga sana!! usikute mshaomba huruma serikalini ili kikinuka msipewe kichapo na Polisi!! vijana hata msijiunge na hiyo operation mtapata dhiki kubwa ya vilema kuliko hata janga la sukari
 
Siku watu wakiiba hadi ikulu ndo utakumbuka chadema ni chama cha namna gani, kwa sasa bado macho yamefumba kama alivyo mtoto aliyeko tumboni
 
Mimi nitaandamana bango langu nitaandika ..."Mbowe acha udikteta wapishe wengine kwenye nafasi ya uenyekiti umekuwa mwenyekiti wa Chadema kabla JK hajawa mwenyekiti wa CCM. "
 
CHADEMA ingekuwa chama cha UMMA ningeshiriki maandamano bila kuogopa
Lkn sasa CHADEMA ni chama cha hovyo hovyo kabisa
Wanatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakipata nafasi wanateuana wao kwa wao
Tukipaaza sauti zetu wanatupuuza
Nikagundua kuwa kazi ya mwana CHADEMA Kyela kumbe ni kuandamana tu,hasikiliziwi
Maandamano ya CHADEMA Sept 1 YAPUUZWE

Na wewe tumekupuuza kabisa gamba mkubwa wewe.
 
hii attachment yako imekaa kichochezi zaidi!! Mara mnasema maandamano ya amani Mara mnatuwekea attachment za kututaka kupambana na serikali yetu au mmeamua kufanya mapinduzi?
Hiyo licha ilikuwa Wakati wa uchaguzi Kenya!
Polisi na jeshi Wakati wa deal na raia wananchi wao walikuwa wanaenda nyumbani kwenye familia za maskari na polisi wanawafyeka na waooooo....ndiyo ilikuwa dawa....ndomana wenye walituliaaa..

Ova
 
Gamba we
CHADEMA ingekuwa chama cha UMMA ningeshiriki maandamano bila kuogopa
Lkn sasa CHADEMA ni chama cha hovyo hovyo kabisa
Wanatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakipata nafasi wanateuana wao kwa wao
Tukipaaza sauti zetu wanatupuuza
Nikagundua kuwa kazi ya mwana CHADEMA Kyela kumbe ni kuandamana tu,hasikiliziwi
Maandamano ya CHADEMA Sept 1 YAPUUZWE
 
Ukweli unabaki pale pale. Mwenye shughuli yake ya maana ya kufanya hawezi kwenda kuandamana, tena Alhamisi mchana. Wale wenye ajira zao makini, hao out. Watu makini waliojiajiri na wanataka wasimamie vizuri uwekezaji wao ili warudishe chao, hao nao out. Wanabaki wabangaizaji wa mjini tu.
 
Back
Top Bottom