Hivi ndivyo operation ukuta itakavyokuwa

Hivi ndivyo operation ukuta itakavyokuwa

Wanao nijua Kyela watashangaa sana kuniita mm gamba
Nilikuwa na kesi mbili kwa ajili ya CHADEMA
Nikalipa faini kutoka ktk akiba yangu
Lkn hiyo siyo iliyonikasirisha
Bali kumbe kazi za chama tufanye sisi
Then wapo wanao teuliwa
Tukilalamika wanatupuuza
 
Na wewe tumekupuuza kabisa gamba mkubwa wewe.
Mm sio GAMBA
Lkn CHADEMA imeondoka ktk misingi yake
Kama chama cha wanyonge
Sasa ni chama cha kuteuana wao kwa wao
Tukilalamika wanatupuuza
Sasa ni zamu yao na sisi tuwapuuze
Mbowe na wenzake ndiyo waandamane
 
Wanao nijua Kyela watashangaa sana kuniita mm gamba
Nilikuwa na kesi mbili kwa ajili ya CHADEMA
Nikalipa faini kutoka ktk akiba yangu
Lkn hiyo siyo iliyonikasirisha
Bali kumbe kazi za chama tufanye sisi
Then wapo wanao teuliwa
Tukilalamika wanatupuuza

Kwa hiyo hasira yako ni kukosa cheo.
 
Watanzania huu ni wakati Wa serikali iliyopo mamlakani washirikiane Na upinzani wafanye kazi.muda Wa kampeni ulikwisha.
 
CHADEMA ingekuwa chama cha UMMA ningeshiriki maandamano bila kuogopa
Lkn sasa CHADEMA ni chama cha hovyo hovyo kabisa
Wanatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakipata nafasi wanateuana wao kwa wao
Tukipaaza sauti zetu wanatupuuza
Nikagundua kuwa kazi ya mwana CHADEMA Kyela kumbe ni kuandamana tu,hasikiliziwi
Maandamano ya CHADEMA Sept 1 YAPUUZWE
umekosa la kufanya unataka cheo hata ngeu hauna gwakukaja
 
umekosa la kufanya unataka cheo hata ngeu hauna gwakukaja
Hadi nilishtakiwa kwa ajili ya CHADEMA kikolo
Michakato yote ya kupata wabunge na viti maalum na madiwani kwa mfano
2010 na 2015 wananchi tulipuuzwa
Kyela mdada ambaye HATA HAKUGOMBEA akatuliwa kuwa diwani
Mdada hakushiriki kwa aina yyt ile uchaguzi
Aliyeshinda Tamali Mwambalaswa akaachwa
Jamani tuna mengi ya kusema,tunakaa kimywa kunusuru chama chao
 
ilitakiwa utoe malalamiko kwenye vikao vya kamati wakiwemo na viongozi wa jimbo
 
Kwa hiyo hasira yako ni kukosa cheo.
Hasira yangu ni KUKOSA HAKI
MM sihusiki na viti maalum
Wangefuata haki kugawa
Kuna mwana UVCCM-Mbulu hadi asiku anateuliwa alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya
Siku anasikia kwenye TV kama kateuliwa alikuwa kwenye sherehe ya CCM kushangilia ushindi wa CCM Mbulu
Na mdada huyu Anna Garia ndiye aliongoza kampeni za CCM Mbulu
CHADEMA ikapokonywa Jimbo
Aliyeongoza mapambano ndani ya CCM ili CHADEMA Mbulu tupoteze Jimbo akateuliwa kuwa Mbunge wa CHADEMA
Disgusting!Shame!
 
ilitakiwa utoe malalamiko kwenye vikao vya kamati wakiwemo na viongozi wa jimbo
Hadi Dar tulimchangia nauli akaenda
Jibu ni lile lile hatubadili kitu
Tukapuuzwa
Sasa na sisi maandamano yao tunayapuuza
Kyela ngome kuu ya CHADEMA sidhani kama mtu ataandamana!!
 
kwanza nyie viongozi wa chadema ni waoga sana!! usikute mshaomba huruma serikalini ili kikinuka msipewe kichapo na Polisi!! vijana hata msijiunge na hiyo operation mtapata dhiki kubwa ya vilema kuliko hata janga la sukari
unadhani siye kama Lizaboni
 
Hadi Dar tulimchangia nauli akaenda
Jibu ni lile lile hatubadili kitu
Tukapuuzwa
Sasa na sisi maandamano yao tunayapuuza
Kyela ngome kuu ya CHADEMA sidhani kama mtu ataandamana!!

Mfuate Juliana Shonza unaweza kuambulia chochote huko.
 
Mm ni CHADEMA Asili
CHADEMA ile ambayo inaweza muita Magufuli ni fisadi
CHADEMA hii ya Lowassa haina moral authority ya kumuita Rais Magufuli na CCM kwa ujumla kama ni fisadi

Hebu rudia tena, unamuita JPM fisadi, ngoja uzingirwe
 
Hadi nilishtakiwa kwa ajili ya CHADEMA kikolo
Michakato yote ya kupata wabunge na viti maalum na madiwani kwa mfano
2010 na 2015 wananchi tulipuuzwa
Kyela mdada ambaye HATA HAKUGOMBEA akatuliwa kuwa diwani
Mdada hakushiriki kwa aina yyt ile uchaguzi
Aliyeshinda Tamali Mwambalaswa akaachwa
Jamani tuna mengi ya kusema,tunakaa kimywa kunusuru chama chao

Hapo kwenye red bold hebu fafanua mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom