AhahahaHebu rudia tena, unamuita JPM fisadi, ngoja uzingirwe
Kwa sasa CHADEMA sio tena ya wananchi walalahoi!Sisi walalahoi sasa hatusikiizwi tenaHapo kwenye red bold hebu fafanua mkuu wangu.
Kwa sasa CHADEMA sio tena ya wananchi walalahoi!Sisi walalahoi sasa hatusikiizwi tena
Wenye maamuzi juu ya CHADEMA sasa ni watu wasio zidi hata wa nne
chadema ina maelfuelfu nyuma yake isipokuwa tu wewe fisadi gambaKwa sasa CHADEMA sio tena ya wananchi walalahoi!Sisi walalahoi sasa hatusikiizwi tena
Wenye maamuzi juu ya CHADEMA sasa ni watu wasio zidi hata wa nne
Kura yangu ni muhimu sana muitunze,kumbuka mwaka 2010 kule Shinyanga mgombea wa CHADEMA RIP Magadula Shilembi aliangushwa kwa tofauti ya kura 1!!Kwenye uchaguzi unao amriwa na popular votes usidharau kura moja 1chadema ina maelfuelfu nyuma yake isipokuwa tu wewe fisadi gamba
Mm sio gambaGamba katika ubora wako
CHADEMA bado iko kwenye misingi yake sema tu wewe macho yaliingia mchanga baada ya vumbi la uchaguzi mkuu 2015.ukiondoka we 1 wataingia 100Kura yangu ni muhimu sana muitunze,kumbuka mwaka 2010 kule Shinyanga mgombea wa CHADEMA RIP Magadula Shilembi aliangushwa kwa tofauti ya kura 1!!Kwenye uchaguzi unao amriwa na popular votes usidharau kura moja 1
CHADEMA ikirudi kwenye misingi yake ya kutetea wanyonge na kupinga ufisadi nitarudi tena!
Njoo Kyela tafadhaliCHADEMA bado iko kwenye misingi yake sema tu wewe macho yaliingia mchanga baada ya vumbi la uchaguzi mkuu 2015.ukiondoka we 1 wataingia 100
UMMA ni nini na Hovyo hovyo ni nini?CHADEMA ingekuwa chama cha UMMA ningeshiriki maandamano bila kuogopa
Lkn sasa CHADEMA ni chama cha hovyo hovyo kabisa
Wanatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakipata nafasi wanateuana wao kwa wao
Tukipaaza sauti zetu wanatupuuza
Nikagundua kuwa kazi ya mwana CHADEMA Kyela kumbe ni kuandamana tu,hasikiliziwi
Maandamano ya CHADEMA Sept 1 YAPUUZWE
hata 1978 sio wote walienda kupambana na Idd amin wengine walibaki maofisini wakifanya kazi zao kama kawaida,sasa usifanye mjumuisho wako kuwa fulani na fulani hawata enda,kuna aina nyingi ya kusupport sio lazima uwe frontline hata kipindi cha mkoloni kuna watanzania kama wewe waliona upuuzi kupambana na mwingereza aliekuwa na jeshiUkweli unabaki pale pale. Mwenye shughuli yake ya maana ya kufanya hawezi kwenda kuandamana, tena Alhamisi mchana. Wale wenye ajira zao makini, hao out. Watu makini waliojiajiri na wanataka wasimamie vizuri uwekezaji wao ili warudishe chao, hao nao out. Wanabaki wabangaizaji wa mjini tu.
Chama kinacho sikiliza watu wake hata wa chini kama sisi,kufanya hivyo chama kinakuwa cha UMMAUMMA ni nini na Hovyo hovyo ni nini?
mkuu nipo kundi moja na weweMm sio gamba
Mm ni mwanamapinduzi niliyejotolea sana CHADEMA
Lkn sasa chama changu kipo kwa ajili ya watu wachache sana
Please usiandamane Sept 1mkuu nipo kundi moja na wewe
niandamane ili iweja? kwa maslahi ya nani?Please usiandamane Sept 1
Mbowe nina uhakika August 30 yy na familia yake wataenda Dubai
Wewe ndiyo uandamane uwekwe mahabusu kisha familia yako ihangaike kukutoa
Kukitulia ndiyo anarudi na familia yake
Mm sio gamba
Mm ni mwanamapinduzi niliyejotolea sana CHADEMA
Lkn sasa chama changu kipo kwa ajili ya watu wachache sana
Huyo jamaa alivyosimama anaomekana ni mwanakarate mzuri hao police lazima wakae tuCHEZEA NGUVU YA UMMA HEBU TUKUTANE 1 SEPTEMBERView attachment 383498
Acha waandamane wanao faidika hata kusikilizwa tuniandamane ili iweja? kwa maslahi ya nani?