Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hapana mm nipo KyelaNa kwa jinsi unavyomuandama Mbowe lazima wewe ni yule makamu wa bavicha uliyefukuzwa kwa usaliti ukakimbilia kwa wafadhili wako huko lumumba na ukazawadiwa ubunge wa vitu maalum.
Mwenyekiti wa zamani wa Tawi la CHADEMA Ipyana
Sijawahi kuwa kiongozi wa kitaifa
