Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

Namfahamu Lowas kama mtu aliyefanikisha kutatua tatizo sugu la maji mikoa ya kanda ya ziwa,ambaye hakuiogopa mikataba ya kikoloni ya miaka 1800 ya kuzuia matumizi ya maji ya ziwa Victoria ili kulinda mto Nile na Kilimo cha misri,badala yake alijitoa muhanga na kutengua sheria hizo kwa maslahi ya wananchi wa Kanda ya ziwa,ki ukweli ana sapoti kubwa sana maeneo ya kanda ya ziwa kutokana na ujasiri huu JAPO MIMI SI MMOJA WA WANAO MUUNGA MKONO.
 
Namfahamu Kama JASIRI, MCHAPAKAZI HODARI, MFUATILIAJI KWA VITENDO, MWENYE MSIMAMO, ASIYEKUBALI TAARIFA ZA KUSOMEWA, Kiboko Cha Wakurugenzi Wala Fedha Za Waalimu Na Za Miradi.
 
Kama Ulikuwa Unamfahamu Kwa Sifa Hizo Za Enzi Hizo Sasa Siyo Lowasa Wa Kipindi Kile Ulichomjua. Hata Majambazi Hutubu Dhambi Na Kuazimia Kuacha.Hvy Kwa Sifa Ulizompa Ndo Anafaa Maana Si Lowasa Wa Enzi Hz
 
Fisadi mkubwa ambaye kutokana na ufisadi wake hajawahi hata mara moja kutoa kauli ya kukemea rushwa na ufisadi wa kutisha ambavyo vinaitafuna na kuiangamiza nchi yetu.
 
Wakuu heshima mbele,

Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha

1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION

2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa AICC estates hususani mabarabara ya estate ya KIJENGE

3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.

4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na Dowans

5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na JK barabarani

6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais

7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane inashinda na vyombo vya dola vinamlinda kwenye kufanya hayo

8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye kugombea urais .

9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko tayari suala la urais limtoe roho

10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha

11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.

12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.

13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!

14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!

15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!

16). Ni mtu hatari muulize S Kubenea ya
tindikali, mbunge Nasari karibu auwawe kule makuyuni kwa amri ya Eddo.

Wewe unamfahamu vipi Eddo..?

NB: wewe team lumumba buku saba mnaojadili watu na kubariki maovu ya mafisadi kana kwamba wote sisi hatuoni. Nakushauri anza na hatua ya kwanza uwe mkweli ndani ya nafsi yako halafu uwe na mtazamo huru .

UKWELI UTAKUWEKA HURU . Achana na kuwatetea wapuuzi mafisadi kumbuka tunaaswa " YARABI NAFSI YANGU" .Unaisaliti nafsi yako kwa shirki na waovu?
.............

Hapo kwenye namba 1 sijakuelewa vizuri Kilaza......umesema umemfahamu akiwa nyuma yako? je ni nyuma gani hiyo? fafanua vizuri isije ikawa tumekula hasara na kwako mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Chuo kikuu maana yake kamtangilia mwaka pale UDSM.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa!!!Naona zile propaganda zenu za kuwa EL atafukuzwa uanachama zimewaumbua!!Mmekuja na single nyingine eti!!Mi Lowassa ninayemfahamu ni mfugaji wa ng'ombe hayo mengine unajua ww mwenyewe!!
Anyway, kapokee ujira wako unaokufanya utumike kama ndala za msalani!!
 
mkuu unazo akili timamu
 
Namfahamu EL mwenye udhubutu wa kufanya mambo yasonge kwa manufaa ya umma
Namfahamu EL aliyepigania uanzishwaji wa shule za kata ndo maana nami leo najiita msomi
Namfahamu EL aliyevunja mkataba na kampuni ya city water ya dar kwa manufaa ya umma
Namfahamu EL aliyewaongoza vijana(machinga) kuvunja eneo lilochukuliwa kinyemela na mwekezaji mnazi mmoja kwa manufaa ya walalahoi
Namfahamu EL aliyesimamia kwa ujasiri mkubwa mpango wa maji kutoka ziwa victoria mpaka mikoa ya shinyanga!!
Namfahamu EL mchapa kazi kwa vitendo na asiyekubali kuletewa taarifa bila kujiridhisha na sual lenyewe!!
Namfahamu EL aliyechukua ubunge wa monduli ikiwa haina babara na sa hv barabara ipo mpaka vichochoroni monduli na shule zilikuwa shida sa hv kila eneo kuna shule tena ya Boarding jumlisha na A.level za serikali 3!!!
Huyu ndo lowassa ninayemfahamu mm, huyo wa kwako ni wa kutengenezwa kwa maslahi ya kwako!!

Lowassa our president 2015/2025 mawe yajongee au yabaki stationary!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu heshima mbele,

Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha

1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION

2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa AICC estates hususani mabarabara ya estate ya KIJENGE

3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.

4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na Dowans

5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na JK barabarani

6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais

7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane inashinda na vyombo vya dola vinamlinda kwenye kufanya hayo

8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye kugombea urais .

9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko tayari suala la urais limtoe roho

10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha

11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.

12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.

13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!

14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!

15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!

16). Ni mtu hatari muulize S Kubenea ya
tindikali, mbunge Nasari karibu auwawe kule makuyuni kwa amri ya Eddo.

Wewe unamfahamu vipi Eddo..?

NB: wewe team lumumba buku saba mnaojadili watu na kubariki maovu ya mafisadi kana kwamba wote sisi hatuoni. Nakushauri anza na hatua ya kwanza uwe mkweli ndani ya nafsi yako halafu uwe na mtazamo huru .

UKWELI UTAKUWEKA HURU . Achana na kuwatetea wapuuzi mafisadi kumbuka tunaaswa " YARABI NAFSI YANGU" .Unaisaliti nafsi yako kwa shirki na waovu?
.............

Mimi Namfahamu Edo Kwa Jinsi Alivyokubokoa Wewe Muanzisha Mada Hadi Ukabokoka Na Kuwa Hivi Leo.
 
mkuu unazo akili timamu

we unaotumika kama Kondomu una akili gani!!Nafuu hata ungekuwa na akili za nzi zingekusaidia kidogo!!Umeacha kutumia ubongo kufikiri unatumia tumbo!!!Kapokee ujira kilaza mkubwa ww
 
Ffffaffgguhfjkfda hilo tusi linakutosha weee kibaraka wa UFIPA
 
anzisheni jukwaa la lowassa tujue moja

kutwa kucha Lowassa, Lowassa

Yaleyaleeee

unafiq, akija unamchekea, akiondoka unakimbilia JF
 
Wakuu heshima mbele,

Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha

1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION

2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa AICC estates hususani mabarabara ya estate ya KIJENGE

3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.

4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na Dowans

5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na JK barabarani

6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais

7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane inashinda na vyombo vya dola vinamlinda kwenye kufanya hayo

8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye kugombea urais .

9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko tayari suala la urais limtoe roho

10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha

11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.

12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.

13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!

14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!

15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!

16). Ni mtu hatari muulize S Kubenea ya
tindikali, mbunge Nasari karibu auwawe kule makuyuni kwa amri ya Eddo.

Wewe unamfahamu vipi Eddo..?

NB: wewe team lumumba buku saba mnaojadili watu na kubariki maovu ya mafisadi kana kwamba wote sisi hatuoni. Nakushauri anza na hatua ya kwanza uwe mkweli ndani ya nafsi yako halafu uwe na mtazamo huru .

UKWELI UTAKUWEKA HURU . Achana na kuwatetea wapuuzi mafisadi kumbuka tunaaswa " YARABI NAFSI YANGU" .Unaisaliti nafsi yako kwa shirki na waovu?
.............
Based on what you wrote, if true, then CCM in general should not be in power. This tells something about the current leadership. If you add the Escrow saga on top of it, do we really expect another member of CCM to bring changes?? The answer is NO. Biashara ha kulindana imezidi. Watu wamelewa madaraka and think they are invincible.
 
SISI WANYONGE AMBAO MISHAHARA YETU YA MALIMBIKIZO HATUJALIPWA ZAIDI YA MIAKA MINNE IMEPITA HADI LEO HATUJALIPWA TEGEMEO LETU NI LOWASA TU NDIYE MWENYE UWEZO WA KUWABANA WAKURUGENZI.NJE YA C.C.M NI DR. SLAA TU. NI WAWILI TU AMBAO NDIYO TEGEMEO LETU.YAKALE YAMEPITA.Huyo Membe Mchague Akawe Rais Kwenye Ukoo Wenu. Sisi Tunaye Rais Wetu Tayari.

umeandika vizuri umeharibu hapo tu pakumtaja Lowasa , mwizi fisadi wa kutisha. kama wewe ni timu lowasa utueleze utajiri wote huo aliokuwa nao kaupata wapi ? nyerere mwenyewe kakaa ikulu miaka 25 hajaondoka na fedha yote hiyo.
 
Lowasa is completely useless candidate, sielewi wanaompigia debe wameahidiwa nini.

hao wanaomshabikia ni wagonjwa wenzake ambao wamerishana kiapo " tunao ugua pamoja tutafurahi pamoja."wanajiriwadha tu
 
Back
Top Bottom