Namfahamu kama mchapakazi ambaye anasimamia ukweli na kiongozi mwenye maamuzi sahihi
Lowassa awatumikie watanzania wapi?Mleta mada umeonyesha chuki binafsi. Maana unajifanya unamfahamu Lowassa, lakini hujaweka ushahidi wowote wa tuhumu unazomtwisha! Hizo porojo zenu hazimzuii Lowassa kuwatumikia watanzania kama mkuu wa nchi ifikapo October.
Ni ndoto za mchana
Lowasa ni zero yaani sufuri-a(0)
Kipindi cha Richmond kuna tetesi kama si uhakika zilidai ananunua mtaa mzima wa goliondoi road Arusha from ilipokuwa Baraccuda bar mpaka Exim bank na kurudi other side kuanzia std chartered bank mpaka eneo la ngorongoro conservation.
Then, ikaja kwenye nyumba za NHC pale faya, tetesi kama si ukweli watu walidai kashachukua na notice walishapewa watu kuondoka ktk zile nyumba.
Hii ilitokana na ule mpango wa kifisadi wa kubadilisha sheria ya Mali za umma kuweza kununuliwa na mtu binafsi in a means kwamba mashirika kama NHC,via an ad na kadhalika yangeweza kununuliwa na watu binafsi ila baadae mpango huu ukazimwa chini ya PAC.
Leo hii huyu jamaa amechukua NMC(National Milling Corporation) kwamba amekodisha, sijui from where msimamizi akiwa mtu wake anaitwa Philemon, wana Kampuni ya kununua mazao na usafirishaji wa malori inaitwa Monaban.
Opposite ya NMC kuna eneo la TRC wamelichukua kwa madai manispaa imewakodishia, wamezungusha ukuta eneo zima wameweka carwash ya magari na parking ya malori.
Muda unavyokwenda kuna mpango wa kung'oa mataruma ya reli ili treni isije kukanyaga tena Arusha na ife jumla.
Sasa huyu mtu mnayesema ni mchapakazi, ni kwa jinsi ipi labda kwa sababu yeye anataka ready made things hawezi kuanzia chini from the scratch pamoja na title aliyo nayo serikalini lkn bado yeye ni mtu wa kunyonya na kumgandamiza maskini tu.
Kuna watu kama kina SSB, Dewji, Mengi, unawaona ni watu wanafanya kazi from their effort hata kama kakopa nje au ndani lkn anasaidia watu wa hali ya chini lkn huyu Mr Ready Made ni hopeless.

Lowassa almuwekea pollonium Harrison Mwakyembe lakini kwa rehema za Mungu Mwakyembe akapona. Ila yeye yamemgeukua anaumwa liugonjwa linalofanana na la bondia Mohammèd Ali, parkinson syndrome
Huo uwongo mpelekee yule make aliyokupa talaka! Je huyu Lowassa inamaanisha serikali inamuogopa. Ulitaka kutunga uwongo jitahidi kuwa mbunifu zaidi itakusaidia. Ila kapatane kwanza na make ukiyomuacha ndiyo uje hapa jamvini kutudanganya!
- EL ni muasisi wa ufisadi na ni FISADI nambari one Tz
- an roho mbaya sana na anaweza akamfanya mtu chochote pale anapotofautiana naye.(amewafanyia vibaya watumishi wengi na wafanya biashara ambao hawamhusudu ikiwepo kuhamishiwa porini kabisa)
- an kisasi kibaya sana (anachukua kitu moyoni)- ( muulize aliyekuwa Mkurugenzi wa same -ile issue ilikuwa ni kisa cha kuhisi mume wake yule mama alimdhulumu kwenye biashara zaidi ya miaka 10 kabla hajaja kulipiza, muulize pia Mwakiembe)
- anapenda kunyenyekewa sana (waulize kina Moloimiet, Sendeka, lekule Laizer, Elisa Mollel etc)
- hataki challenge (waulize waliojaribu kutafuta au waliopata nafasi za kisiasa Monduli-1 of them Peter Sironga, aliyekuwa RPC kabla ya yeye kuwa PM na waliofaidi ni kina DC -Lemburis Kivuyo, aliyekuwa OCD-Monduli kabla ya yeye kuwa PM etc)
- Ni malaya: muulize mumewake na Beatrice, DC- Lembris (wako wengi sana wake wa watu na malaya tu)
- Ni mladhuluma: amewadhulumu wengi mali zao akiwepo jamaa mmoja maskini kamnyamg'anya kiwanja mjini Arusha
- Mbinasi: Kila anachkifanya anataka yeye afaidike kwanza kabla ya uma. mfano mradi wa maji ya Mondulitoka Ngaramtoni aliiba zaidi ya biliono 20 na alitaka achukue shamba la mbegu ngaramtoni afungue mradi wake wa kilimo na atumie yale maji, Kumbuka RICHMOND pia, viwanja alipokuwa waziri wa ardhi.
- ni FISADI MKUU hata pale Mondui: Monduli tenda zote either ni za ndugu zake au vibaraka vyake, hela za maendeleo ya h/mashauri lazima yeye amege kwanza za kwake ndipo madiwani wakajadili salio.
- hataki kubishiwa: muulize RPC-Arusha kabla ya yeye kuwa PM, muulize aliyekuwa diwani, Sepeko, Mtowambu (Ramadhani), Mama mmoja aliyekuwa diwani Monduli-marehemu sasa ni inaaminika amehusika kumwondoa
- A tamaa sana: Kila kampuni inayofanya vizuri anataka amiliki hisa(muulize Mengi kwanini hawapatani na wenye makapuni ngingi ndani na nje yamkoa wa Arusha.
- NI DICTATOR WA MASLAHI BINAFSI: muulize mtumishi yeyote aliyeko Monduli ambaye ni mzalendo na anajielewa, muulize Sam Laizer, Marehemu sasa
- an Hila nyingi mbaya
- MTOA RUSHWA MBAYA (kila mtanzania analiona hilo) kama ana sifa hela za nini kumwaga kwa kasi kubwa namna hiyo? atazirejeshaje:
- ANAUMWA: ana ugonjwa wa kutetemeka mwili na magonjwa mengine SUGU
- Ni mfanya biashara wa nyara za taifa
- Si mkweli: mfano anamilikimali nyingi sana lakini alishawahi kusema ana miliki ng'ombe wachache tu
Niishie hapa kwa leo
Loomu naona umetoka kunywa viroba au kile kitu cha archuga kimekuvuruga mazima chalii angu!Hili la peter sironga ni uongo mtupu!Yule mbulula aliwahi kuwa RPC wapi au nyumbani kwenu!Acha chuki binafsi mtoto wa kiume ww