Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

Aliye msafi huko magambani na awe wa kwanza kumnyooshea kidole ENL!!
 
Wakuu heshima mbele,

Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha

1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION


Too much scratching on the surface.Ielezee vizuri hiyo namba moja maana uliyaona ulipokuwa naye chuoni.
 
Wewe ni sawa na kinyesi cha lowasa unawashwa tu lowasaa lowasaaaa.huyo ndo rais wetu jinga kubwa

Jenga hoja mkuu adobe, matusi hayasaidii chochote!
 
Last edited by a moderator:
1. Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge Mwanama, akaweka PPF complex.
2.Akachukua Jumuiya Tour akaform Leopards Tours.

Mkuu acha uwongo, Kijenge Mwanama kuna complex ya PPF? Au PPF Estate?
Mbona sio ya Lowassa ile? Humu kuna nyumba na zinamilikiwa na Raia tofauti tofauti? Hebu nieleweshe hapa!

Pili,

Leopard Tours ni mali Halali ya Zuher Fazal, na Mdogo wake Gulam .H. Fazal,

Hawa ni watanzania wenye asili ya kiasia, Kama wewe ni Mkazi wa Arusha utakuwa unafahamu wapi Leopard Tours imetoka. Hakuna mkono wa Lowassa pale. Ila ninachosikia huwa wana urafiki na Lowassa, ila sio wa kibiashara.

Mkuu Mtumishi Wetu wewe ni mtumishi wa wapi unasema uongo hivi? Muogope Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Ww nan tuseme na ya kwako... Huna jpya kwahyo unafahamu mabaya tu.. Kwa hali hyo haumfahamu wananchi wanamjua hata kuliko ww kawaulize jimbon kwako..., halafu cyo wote wanajua lumumba mm mwananchi wa kawaida lakin nakuona umejitoa akili hutaki kusema mazur yake.. Fool
Moral corruption!
 
Lowasa is completely useless candidate, sielewi wanaompigia debe wameahidiwa nini.
 

Attachments

  • 1421228081001.jpg
    1421228081001.jpg
    17.1 KB · Views: 199
Fedha za kununua majumba London ametoa wapi?atajali biashara zake kuliko kutumikia umma hatumtaki.
 
Mkuu acha uwongo, Kijenge Mwanama kuna complex ya PPF? Au PPF Estate?
Mbona sio ya Lowassa ile? Humu kuna nyumba na zinamilikiwa na Raia tofauti tofauti? Hebu nieleweshe hapa!

Pili,

Leopard Tours ni mali Halali ya Zuher Fazal, na Mdogo wake Gulam .H. Fazal,

Hawa ni watanzania wenye asili ya kiasia, Kama wewe ni Mkazi wa Arusha utakuwa unafahamu wapi Leopard Tours imetoka. Hakuna mkono wa Lowassa pale. Ila ninachosikia huwa wana urafiki na Lowassa, ila sio wa kibiashara.

Mkuu Mtumishi Wetu wewe ni mtumishi wa wapi unasema uongo hivi? Muogope Mungu!

Look here mzee, estates zilizomilikiwa na EL ni pamoja na zile zilizopo nyuma ya kiwanda cha zamani cha Fibre Boards pale Njiro akishirikiana na tajiri Andrew Mollel. Nyumba zile ziliuzwa kwa watu mbalimbali wakiwemo kina Sunda.

Kuhusu Leopards Tours, nani hajui kuhusu huyo mzee wa kihindi mweny duka pale Monduli mjini? Mzee huyo alikuwa anaelekea kufilisika kiduka chake pale na vijana wake walikuwa jobless. Ndipo EL alipoona mwanya wa kuwatumia vijana hao na kuwahamishia assets na opportunities za Jumuiya safaris yeye akiwa mkurugenzi AICC, aliwawezesha vijana wale kidogo kidogo Leopards Tours ikaendelea kukua hadi leo. Uliza mara ngapi TRA Namanga waliokataa kupitisha mali zisizolipiwa kodi za Leopards Tours wamehamishiwa mbali na kushushwa vyeo kwa amri ya EL? Viwanja walivyojenga pale Sekei na ofisi zao Kijenge were also aquired under EL influence!!! Hakuna mtu anayejua mambo atamtenganisha EL na Leopards
Mzee rejea historia kwa usahihi!
 
Kumbe yuko hivyo. Mimi nilidhani jembe. Basi kuanzia leo nimeacha kumshabikia.
 
Kwa mfano tulimo nao sasa, Lowasa ana sababu zaidi ya 101 kujitetea na kututhibitishia ya kuwa si fisadi na hausiki kwa vyovyote vile kwenye ufisadi uwao wowote ule. Na hakuna kitakachotokea, na anaweza kuwa rais hivi hivi huku tunaonanaje kwa macho na tunasikia kwa masikio yetu.Tatizo la nchi yetu si Lowasa na si fisadi mwingine yeyote, tatizo ni mifugo tu lions unaona alisharipotiwa, unawalea na kuwalinda hawa mafisadi. Kwa hiyo basi jumla kuu ya matatizo yote ya kifisadi yanayoikabili Tanzania/Tanganyika ni CCM. Tukishafanikiwa kuing'oa hii, tunaingia katiba kujenga nchi na watu wake sasa, na si kujenga familia familia fulani chache tu za wateule wetu, wanaojifanya miungu watu.
 
Back
Top Bottom