Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga

Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga

Situmi hela kwa mtu yeyote tuliyekutana mtandaoni
ukubali kufata huduma yake popote alipo..Maana watu wanadhani kwakua kaona kitu ONLINE anaweza kukaaa tu ofisini/nyumbani kwake akitaka aletewe Huduma.

Online ni sehemu ya kutangaza tu biashara ya mtu ila kuhusu kupata huduma au kitu husika inakubidi wewe uliye ona TANGAZO umfate muhusika hadi alipo.

Wengi wapenda shortcut hawataki mfata muuza bidhaa..anataka akae aseme "Nileteeee nimeona kitu flani,nipo kinondoni" sasa ukitaka kukaaa bila kuinuka fata Bidhaaa LAZIMA UTUME NAULI YA KUFATWA tofauti na hapo huduma hutopata.

ila kama utakua ukiona kitu ukawa sio mvivu ukaamka ukakifata Nadhani utapeli utausikia kwenye bomba maana Hutokaa utapeliwe Maisha.
 
hapo unapata Serengeti lite 4 bariiiiiiidi alafu una shushia na k-vant pembeni una totoz huku unatafuna karanga
 
hapo unapata Serengeti lite 4 bariiiiiiidi alafu una shushia na k-vant pembeni una totoz huku unatafuna karanga
 
Sasa kuliko kukejeli bora mtoe angalizo kwa mods kwamba hilo tangazo kama bado lipo lifutwe na huyo member tapeli apigwe life ban.
kuwapiga BAN matapeli naonaga ndio kuwarahisishia njia ya utapeli maana akipewa BAN atakuja na ID ingine tusiyoijua ATATULIZA TENA ikumbukwe matapeli wana tekniki mpya kila siku..Hizi ID za MATAPELI sishauri kbsa zipigwe BAN ziachwe ila tuendelee kutangaziwa flan ni TAPELI kuliko tumjua tapeli then hatumiii tena ID ILE na ukute hata humu saivi yupo anachangia na yeye.
 
Mtoa MADA naona mnamshambulia kwa kumcheka...unapomcheka mtu mwenye nacho wakati wewe upo hapo nakushangaaa..Ukimsoma maelezo yake 6000 kwake ni hela ndogo sana soo hata kama katapeliwa sidhani kama anaumia to that extent watu mumcheke...AIM yake ni kutu alert wengine tukae kimachale na kutusimulia kdg yeye ilikuaje.

So tungetakiwa kuwe na mwendelezo wa replies tuki changia kuhusu jinsi ya kutokomeza hawa matapeli wa namna hii humu JF na siii kumcheka mpatwa na JAMBO cause kwa kufanya hivyo haimpunguzii kitu zaidi tu ni kupoteza muda for nothing.

Kweli 6000 unaweza nunua hzo beer,totoz,nk ila tusiangalie hilo ebu tuangalieni ID za watu kama hao tunazitiaje kibindoni..Nadhani Humu JF angetokea KONKI MASTER wa kututafutia hawa raia ingependeza sana maana kuna Ma IT humu wenye PHD tena wakali wa hizi kazi..wale wakujiita HACKER mbona hamuonyeshi u expert kwenye kazi zenu? sidhani kama atatokea member humu akaenda kwa kina MAX wampe location ya tapeli akanyimwa,sidhani.

Tatizo tumekaaa kukejeliana,kuchekana as if wewe unae mchekla mwenzako halijawahi kuku kuta lolote..Huyu ni wa 6000 tu ebu wewe unaecheka tuambie lako moja TUONE kama mada zote hazijahamia kwako watu tucheke mpk mikojo itoke...Ishu sio kuchekana JF is a place to learn so Tusipoelekezana tutapoteza lengo la huu mtandao.

Ok tushamcheka THEN WHAT????

hamna hata alieweka link watu waone...SAD.
 
Watoto wa mjini ndio wanaongoza kwa kupigwa ila wanauchuna ili wasionekane mabwege,hongera kwa kuweka mambo hadharani.
Nalog off
 
Mimi naona inategemea tu na siyo kwa wote waliodhulumu. Wengine baada ya kudhulumu hivyo uendelea kupeta na baadae sana ufariki kwa kifo cha kawaida tu kama wengine wasiodhulumu.

Mkuu, chunguza vizuri mtu alieiba au kudhulumu anakuwa hana amani/raha na mali zake muda wote anawaza kufa au kufilisika. Hao unaowaona wanaendelea kupeta na baadae sana hufariki kwa kifo cha kawaida huwajui kwenye nafsi zao jinsi wanavyoishi, misukosuko mingi wanakumbananayo, kwa mtu wa nje ngumu kumjuwa.
 
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege

Maboya wa hivi mpo sana....nyie ndio wapiga kura wa kile chama fulani
 
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
Imefanya vizuri kuleta mrejesho, wengine tumejifunza. Much appreciation !
 
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
Wewe siyo bwege. Jf ni chanzo kikuu cha watu kufahamiana na kufanya biashara za maana na ushahidi upo. Ninakataa wewe haujawa fara kwa huyo tapeli wa kijinga. Elfu6 kitu gani? Hapo tayari kishajifungia mipaka, hatapata mtu tena wa ku cooparate!
 
Jinga kabisa ww...
pumbav....
Weeh vipi !?
Screenshot_20190731-132133.jpeg
 
Back
Top Bottom