Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga

Muwe mna soma comment kwanza[emoji16]muone maoni ya wengne
naijatwittersavages-20190806-0001.jpeg
 
Pole sana chief
Sijawahi ongea na mtu nje ya jf yaani we story zako zote ishia pm
Ova yaani sijui mambo ya namba ooh aisee siji jaribu hata iweje
asee hongera kwa kujikubali maana hakuna kitu kibaya kama kutapeliwa afu ujue umetapeliwa ha ha haaa unaweza ukajiuliza maswali mengi sana na kujijihu mwenyewe
 
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
BURE GHALI POLE
 
Hata ivyo 6000 haitamfikisha popote
 
Back
Top Bottom