Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga

Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
aisee umeibiwa kiboya sana, yaani wanaume wa dar bhana, yani unatoa hela pasipo kupata service
 
Mtoa MADA naona mnamshambulia kwa kumcheka...unapomcheka mtu mwenye nacho wakati wewe upo hapo nakushangaaa..Ukimsoma maelezo yake 6000 kwake ni hela ndogo sana soo hata kama katapeliwa sidhani kama anaumia to that extent watu mumcheke...AIM yake ni kutu alert wengine tukae kimachale na kutusimulia kdg yeye ilikuaje.

So tungetakiwa kuwe na mwendelezo wa replies tuki changia kuhusu jinsi ya kutokomeza hawa matapeli wa namna hii humu JF na siii kumcheka mpatwa na JAMBO cause kwa kufanya hivyo haimpunguzii kitu zaidi tu ni kupoteza muda for nothing.

Kweli 6000 unaweza nunua hzo beer,totoz,nk ila tusiangalie hilo ebu tuangalieni ID za watu kama hao tunazitiaje kibindoni..Nadhani Humu JF angetokea KONKI MASTER wa kututafutia hawa raia ingependeza sana maana kuna Ma IT humu wenye PHD tena wakali wa hizi kazi..wale wakujiita HACKER mbona hamuonyeshi u expert kwenye kazi zenu? sidhani kama atatokea member humu akaenda kwa kina MAX wampe location ya tapeli akanyimwa,sidhani.

Tatizo tumekaaa kukejeliana,kuchekana as if wewe unae mchekla mwenzako halijawahi kuku kuta lolote..Huyu ni wa 6000 tu ebu wewe unaecheka tuambie lako moja TUONE kama mada zote hazijahamia kwako watu tucheke mpk mikojo itoke...Ishu sio kuchekana JF is a place to learn so Tusipoelekezana tutapoteza lengo la huu mtandao.

Ok tushamcheka THEN WHAT????

hamna hata alieweka link watu waone...SAD.
acheni kupenda mteremko ,
 
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
Ha ha ha!!! Pole sana.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Akipata maboya 5 Kama huyu kwa siku ana hela ya kutosha kunywa bia,kula nyama choma na inayobaki anamuachia mkewe halaf asubuh anaaga anaenda kazini.
Hahahaaha
 
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Umemaliza baba, sina la kuongeza[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Umeibiwa kiboya sana nahisi hata wewe ni bonge la fara

Alafu hilo jina la msuya limekaa kipigaji pigaji sana
 
Watu wanataka kuyaishi maisha ya hapa jamiiforums kama wanavyoishi kijijini kwao Nyelegete.
Pole mdau.
 
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.

Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.

Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.

Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.

Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.

namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.

Guys when the deal is tooo good think twice!!!!

Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
Ukihisi umefumba macho na kufumbua tatizo lako kwisha ujue unabiwa.Hakuna utajiri wa haraka wala tatizo kutatuliwa kirahisi hivyo.
 
bora umetapeliwa ndio akili imekaa sawa. Maana kuna watu wabishi mpaka siku yawakute.
 
Back
Top Bottom