Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,640
AIRTEL YA CHUOHata ivyo 6000 haitamfikisha popote
480DK AIRTEL
20DK MITANDAO YOTE
2GB
MWEZI MZIMA
KWA 6,000 TU
AIRTEL YA CHUOHata ivyo 6000 haitamfikisha popote
Mbona mimi kwangu imefanya kazi acha kulalama fuata maelkezo vizurSiku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando.
Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA.
Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,.
Jamaa kanitumia link nidownload hiyo app ya super bando kwa maelezo nitumie opera mini ndio itafanya kazi.
Baba nimedownload kutumia power engines zote, sijui opra mini, Mozila fire fox, internet explorer, Chrome na zingine zote unazojua lakini app haikufanya kazi.
namrudia ananiambia nisubiri masaa manne nikajua nimeshaliwa.
Guys when the deal is tooo good think twice!!!!
Japo nilikua najaribu ila mwishowe nimejiona bwege
😂😂😂😂hata sijuiHivi vocha za bure kupitia dent ziliishia wapi?
Msuya ni kabila la wapare, wanashare mkoa na wachagaWachaggaaaaaaa hoyeeeeee
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Walevi hoyeeeJamaa ametapeliwa buku sita kama bia tatu hivi![emoji1][emoji1][emoji1]
Assume mabeberu walifika 1000, haijamsogeza tu?Hata ivyo 6000 haitamfikisha popote
Niliuona ule uzi (thread) nakuna mtu alitoa angalizo watu wawe makini
Chiiiiiiiii[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Walevi hoyeee
Hata ivyo 6000 haitamfikisha popote
Msuya hajawahi kuwa mchagaWachaggaaaaaaa hoyeeeeee
Ni thithti wadheeeMsuya na Mshana ni akina baba dhao na mama dhao
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Walevi hoyeee
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23]Msuya na Mshana ni akina baba dhao na mama dhao
sehem gani mkuu taja locationElufu sita unapiga machine kabisa mtoto wa maana tabata poleee