Hivi ndivyo kodi zenu zinavyotumika: William Malecela anatalii na gari ya DC Muro

Sasa ni dhairi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro amefanikiwa Kwa asilimia Kubwa kuwavuruga baadhi ya viongozi wa chadema ambao wameonyesha wazi kumuwinda Kwa udi na uvumba katika kipindi Cha miezi minne aliyokaa Arumeru .

Katika kile kinachoonekana kuzagaa Kwa wingi katika mitandao ya kijamii ikionyesha picha ya Mwanaharakati wa masuala ya kijamii Ndugu Le Mutuz akiwa AMEPOZI nje ya Gari linalotumiwa na Mkuu wa Wilaya Arumeru katika Hotel ya kitalii ya Masai land iliyoko Arumeru ambapo viongozi kadhaa wa juu wa chadema ambao wameamua kusambaza picha hizo kwa makusudi wakidhani wanamchongea Dc Muro Kwa Mamalaka husika na badala yake wameanza kuonekana na wao wamekuwa wapiga debe wa kumuongezea Dc Muro umaarafu tu .

Niwasaidie kuwapa ufafanuzi kidogo tu
1. Hotel ya Masai land iko Arumeru eneo la kiutawala la Dc Muro ambapo alikwenda kuwatembelea marafiki zake ambao walikuja kumuunga mkono kwa kukuza utalii wa ndani Wilaya ya Arumeru , pia hotel ya Masai land Ndio walioshukia Timu ya soka ya Yanga .

2. Le mutuz amepiga picha akiwa nje ya gari hakuwa ndani ya gari uku bendera ikiwa inapepea, hivyo Le mutuz hakuwa anaitumia gari ya Mkuu wa Wilaya ikiwa ina bendera, pia kumbukeni Le Mutuz ni mtanzania ana haki ya kupiga picha katika gari ya serikali ambayo ni mali ya Umma.

3. Le mutuz anajulikana Kwa misimamo yake inayoambatana na majigambo ya kiwango Cha kimataifa, anaposema anashukuru Kwa kupewa usafiri hivi mnajua Alipewa usafiri gani kwani Dc Muro hana gari ya kumpa Le mutuz au mnatazama hiyo picha ya gari ya Serikali tu

Kweli Le mutuz kawavuruga akili , hivyo maneno ya Le mutuz yanabaki kuwa maneno yake ambayo hayawezi kuwa maoni ya Wilaya , Le mutuz ana haki ya kuandika na kujitamba kadri awezavyo, pasipo kuharibu mahusiano yake na Dc Muro
Kumbukeni vita ya Le mutuz na makada wa chadema , sasa wamemshindwa Le mutuz mwenyewe wameanza kupambana na Dc Muro
Soma kwenye post ya Lemutuz akijinadi kuwa anamshukuru DC rafiki yake kwa kumpa usafiri. Use your common sense. Usijibu bila kwanza kuangalia chanzo cha habari.
 
Kwa kujitetea huku inaonesha DC kapanic. Kweli akili ndogozi ni shida.
 
Lemutuz na Jerry watapata tabu sana...nna uhakika hata
hiyo hoteli kalala kwa hisani ya DC,halipi Accommodation wala meals and drinks.. Covered by DC
 
How your tax is used.
km halikuongezei kitu au kukupunguzia potezea mkuu,apo hatuoni akitalii zaid ya limepak na m2 kAandika caption aipendayo,
We ukipiga pcha na Bombardier ye2 ukasema asante jp kwa kukupa ruhusa unaenda nayo kutalii zenji tutakuacha tu,
Little things 2pa kulee
 
How your tax is used.

Kuna Vitu vingine ukivisikia huwa ' vinakera ' sana na huwezi kuvivumilia. Hivi kumbe leo hii Mtu akiwa ni Kiongozi ( Mkubwa ) wa ngazi zozote zile Tanzania hapashwi kuwa na Marafiki zake na pia hata kuwapa ' ride ' kidogo katika Gari lake? Hoja zingine ni za ' Kipumbavu ' na ' Kishamba ' kabisa. Hakuna ambaye hajui ' mapungufu ' ya huyo Le Mutuz au Jerry Muro ( DC Arumeru ) ila sijaona ' mantiki ' yoyote hapa ya kuanza ' Kuhamaki ' na kudai kuwa Kodi zetu zinatumika hovyo. Kwahiyo ni Kodi tu za mwaka huu ndizo zinatumika hovyo ila za Awamu kuanzia ya Kwanza ya Nyerere ( R.I.P ), Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete ndizo zilikuwa hazitumiki hovyo? Tukosoe na tupinge kwa mambo yenye ' Tija ' zaidi na siyo haya ya ' Kitoto ' hivi. Kwahiyo mfano Siku CHADEMA ikiwa Madarakani ( imeshika Dola ) halafu GENTAMYCINE nikawa na ukaribu labda na Mheshimiwa Mchungaji Msigwa na akanikaribisha Kwake na akanipa Heshima zote kama Rafiki bado pia utasema kuwa kwa kufanya Kwake huko Kwangu anatumia Kodi za Watanzania vibaya?
 
Wewe ndio hujuwi unachokizungumza tatizo shida zimekukabiri kwa hiyo kila aliyekuzidi unamuonea wivu tu

Sitamuonea wivu mwanaume aliyenizidi kwa hulka ya kuchokonolewa. Hana la zaidi ya kuwa chakula. Wewe kwa vile unatabia hivyo unahisi anaonewa wivu.
 
Nahisi hata wewe pia unachokonolewa umejuaje kama yeye anachokonolewa? Au mchonozi wenu ni mmoja?
Sitamuonea wivu mwanaume aliyenizidi kwa hulka ya kuchokonolewa. Hana la zaidi ya kuwa chakula. Wewe kwa vile unatabia hivyo unahisi anaonewa wivu.
 
Kuna Vitu vingine ukivisikia huwa ' vinakera ' sana na huwezi kuvivumilia. Hivi kumbe leo hii Mtu akiwa ni Kiongozi ( Mkubwa ) wa ngazi zozote zile Tanzania hapashwi kuwa na Marafiki zake na pia hata kuwapa ' ride ' kidogo katika Gari lake? Hoja zingine ni za ' Kipumbavu ' na ' Kishamba ' kabisa. Hakuna ambaye hajui ' mapungufu ' ya huyo Le Mutuz au Jerry Muro ( DC Arumeru ) ila sijaona ' mantiki ' yoyote hapa ya kuanza ' Kuhamaki ' na kudai kuwa Kodi zetu zinatumika hovyo. Kwahiyo ni Kodi tu za mwaka huu ndizo zinatumika hovyo ila za Awamu kuanzia ya Kwanza ya Nyerere ( R.I.P ), Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete ndizo zilikuwa hazitumiki hovyo? Tukosoe na tupinge kwa mambo yenye ' Tija ' zaidi na siyo haya ya ' Kitoto ' hivi. Kwahiyo mfano Siku CHADEMA ikiwa Madarakani ( imeshika Dola ) halafu GENTAMYCINE nikawa na ukaribu labda na Mheshimiwa Mchungaji Msigwa na akanikaribisha Kwake na akanipa Heshima zote kama Rafiki bado pia utasema kuwa kwa kufanya Kwake huko Kwangu anatumia Kodi za Watanzania vibaya?
Hiyo Bendera hapo namaanisha nn kwnye Gari.
 
Kuna Watu ni Wapumbavu / Mapopoma chini ya hili Jua hadi mnakera kama siyo kuudhi kabisa. Kwahiyo Gari la Dereva wa Marekani likiwa pamoja na Bendera yake likiwa limembeba Mmarekani ambaye pia ni Rafiki wa karibu wa huyo Balozi ( bila kujali ni mwana Democrat / Republican ) ndiyo matumizi mabaya ya Kodi za Wamarekani?
 
Back
Top Bottom