monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,538
- 13,072
Haya ni mambo mazito kuwahi kusemwa tangu tulipopata uhuru!
Haya ni mambo mazito kuwahi kusemwa tangu tulipopata uhuru!
lemutuz ana akili nyingi, ila kinachomuharibia ni show off.
Hii huwa inamcost sana.
Hapa umejibu nini wewe Popoma??, Gari ya serikali haiwezi kutumika kipuuzi hivyo kama unavyofikiriaKuna Watu ni Wapumbavu / Mapopoma chini ya hili Jua hadi mnakera kama siyo kuudhi kabisa. Kwahiyo Gari la Dereva wa Marekani likiwa pamoja na Bendera yake likiwa limembeba Mmarekani ambaye pia ni Rafiki wa karibu wa huyo Balozi ( bila kujali ni mwana Democrat / Republican ) ndiyo matumizi mabaya ya Kodi za Wamarekani?
Hapa umejibu nini wewe Popoma??, Gari ya serikali haiwezi kutumika kipuuzi hivyo kama unavyofikiria
lipo likizo hilo gari.sentensi rahisiHow your tax is used.
Daaaaahhh,,,,,hyo si picha tu mjombaaa,,,,,yan mtu kapiga picha kaegemea gari lakn ww tayr umeshaona kama ametembelea!!??? Kama walikua wote na jerry muro??
BAK, nilichojifunza kwenye haya maisha, ni kusikiliza pande zote Mbili.Mwenye akili hatelekezi watoto wake Marekani na kukimbia ili kukwepa majukumu yake.
BAK, nilichojifunza kwenye haya maisha, ni kusikiliza pande zote Mbili.
Sitetei kuwakimbia watoto wake, ninachoomba ni kusikiliza upande wake na wa mwanamke.
Nilishawahi kushuhudia baba akitaka kulishwa sumu na mke wake, ukimuuliza mwanamke anakuambia mume alikimbia, ukimuuliza baba anakuambia ni story ndefu.
Mbaya zaidi watoto wakiside na mama yao kwa issue kama hiyo, hutawahi kumuona baba.
Bro, nakuelewa na unachosema ni kweli. Labda niseme tu kwamba baba ni baba siku zote, ila Kama Mtoto amelishwa tango pori na mama yake, haki ya nani, hata uwe karibu vipi, hutaweza kuwa karibu na Mtoto. Ndiyo Yale Yale ya Diamond na baba yake, japo kesi ni tofauti kidogo.Umeandika point kubwa sana Mkuu lakini watoto wako ni watoto wako tu hata kama mna ugomvi na Mama yao lakini huwezi kuwatelekeza kimoja. Sijui sasa hivi uwezo wake kifedha ukoje lakini kuwarushia hata kidogo alichonacho ingekuwa jambo la maana sana.
Inamana hulipi kodi wewe si ndio?...umejiajiri unapata kipato hadi cha kulia bata lakini kikokotoo cha TRA hujawahi kumbana nacho kweli au ndo kujitoa ufahamu?Siwezi kukijuwa na wala sitaki kukijuwa kwa maana kwetu sisi hakina maana familia nzima hakuna mtu aliyeajiliwa wote tumejiajili wewe unayesubiri ajira au upo umeajiriwa na serikali endelea kukitafakari hicho ki calculator mimi niache nile zangu bata tu
Babu mimi kodi hainiumizi kichwa maana ni wajibu wangu kuilipaInamana hulipi kodi wewe si ndio?...umejiajiri unapata kipato hadi cha kulia bata lakini kikokotoo cha TRA hujawahi kumbana nacho kweli au ndo kujitoa ufahamu?
Kuna Watu ni Wapumbavu / Mapopoma chini ya hili Jua hadi mnakera kama siyo kuudhi kabisa. Kwahiyo Gari la Dereva wa Marekani likiwa pamoja na Bendera yake likiwa limembeba Mmarekani ambaye pia ni Rafiki wa karibu wa huyo Balozi ( bila kujali ni mwana Democrat / Republican ) ndidyo matumizi mabaya ya Kodi za Wamarekani?