TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Ninachojua kwa sasa US na Iran hawako vitani, bali uhusiano wao uko kwa kiwango cha chini kabisa karibia na kile cha mwaka 1979!! Hakuna vita, kilichofanywa na US ni 'ugaidi'! Amesema Nazar Waziri wa mambo ya nje wa Iran na hii yaweza kuwa kwrli.Teh! Vita ni kuviziana na kummaliza adui popote pale. Na sio uzuri mpaka awe kwenye fighting mode. Vita sio mchezo wa masumbwi kijana.