GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao.
Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna Tukio Kubwa baya limetokea na limeua Mtu / Watu huku lawana nyingi zikielekezwa Kwao ili Kumzuga Rais na Wao kulinda Nafasi zao huamua Kudanganya Watu kwa kwenda Magerezani na Kuwabeba Majambazi Sugu kisha kuwaweka katika Gari ( hasa NOAH ) na kwenda Kuwauwa kisha wanasema kuwa miongoni mwao ndiyo walifanya Tukio la Karibuni.
Kiukweli Maisha ya hapa nchini Puerto Rico sasa si mazuri kwani Kwanza Gharama za Maisha zimepanda halafu kuna Uhalifu mkubwa hivyo nafikiria kurejea zangu tu Nyumbani nchini Tanzania ambako ni Salama, Maisha ni mepesi, Uhalifu hakuna kabisa na hata mzunguko wa Fedha ni mkubwa tofauti na hapa nilipo.
Cc: adriz, Daudi Mchambuzi, Bujibuji Simba Nyamaume etc.