MA-CAROLIGHT si mabaya kama yanavyojadiliwaga.. me nahisi ni ukosefu wa utaalamu jinsi ya kuyatumia! Tatizo letu wabongo tunafanya vitu kwa MAZOEA, hata vile ambavyo vinahitaji utaalam tunaingiza MAZOEA ! Mbona kuna wanaotumia hiZo CAROLIGHT na wako poa tu?? AU ndio ZIMEWAKUBALI???...
Ngozi zetu zinatofautiana, Hivyo hatuna budi kujua ni kwa kiwango gani tu-apply hizo caro-lights kulingana na mahitaji ya ngozi zetu.. SISI TUNABAHATISHA ! kisa, ASHURA anatumia halafu anatoka chicha ile mbaya..!!!
GIRLS, WATCH-OUT!