Kenya 2022 Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi?

Kenya 2022 General Election

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,606
74,467
Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi?

Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
 
Huwa wanapiga taarabu na vile vibiti vya singeli..jaribu kufauatiria utawaona waki perform .

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…