Hivi ni kweli Mungu aliyetuumba kwa mikono yake mwenyewe hutupa mitihani ya kutupima ili agundue Nini na wakati anatujua A to Z??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
NALIA NGWENA nimekua nikijiuliza sana kuhusu hii mitihani ya mungu inayosingiziwa kila kukicha.

Mtu kafanya zinaa kakamatwa utasikia anasema "mungu kanipa mtihani wa kunipima Imani mke wangu/mume wangu"

Shekh/mchungaji anatafuna mke wa mtu/mume wa mtu akibainika lazima ajitetee kuwa ni mitihani ya mungu.

Jitu hakifanyi kazi limelala na njaa likikaa kijiweni linasema "hii mitihani ya mungu midogo tu nitaishinda"

Hiyo ni mifano michache tu ambayo nimeamua kuitumia katika kujenga hoja nakuwasilisha swali langu

Sasa Najiuliza mungu atatoaje mitihani kwa Mtu aliyemuumba yeye na wakati anatambua kabisa huyu hapimwi??

Au kauli ya neno mitihani ni la kufarijiana tu na Mungu yupo bize na Mambo yake Ila sisis huku tunafarijiana??

Nawasilisha hoja.
 
"Au kauli ya neno mitihani ni la kufarijiana tu na Mungu yupo bize na Mambo yake Ila sisis huku tunafarijiana??"
 
NALIA NGWENA nimekua nikijiuliza sana kuhusu hii mitihani ya mungu inayosingiziwa kila kukicha.

Mtu kafanya zinaa kakamatwa utasikia anasema "mungu kanipa mtihani wa kunipima Imani mke wangu/mume wangu"

Shekh/mchungaji anatafuna mke wa mtu/mume wa mtu akibainika lazima ajitetee kuwa ni mitihani ya mungu.

Jitu hakifanyi kazi limelala na njaa likikaa kijiweni linasema "hii mitihani ya mungu midogo tu nitaishinda"

Hiyo ni mifano michache tu ambayo nimeamua kuitumia katika kujenga hoja nakuwasilisha swali langu

Sasa Najiuliza mungu atatoaje mitihani kwa Mtu aliyemuumba yeye na wakati anatambua kabisa huyu hapimwi??

Au kauli ya neno mitihani ni la kufarijiana tu na Mungu yupo bize na Mambo yake Ila sisis huku tunafarijiana??

Nawasilisha hoja.
Huyo Mungu mwenyewe ukiwaambia wathibitishe yupo nao ni mtihani ambao hawajawahi kufaulu.

Kwa sababu hayupo, wamemtunga tu.

Ndiyo maana wamempa tabia zao.

Mara Mungu kakasirika. Mara kaghairi. Mara ana wivu.

Sasa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, anawezaje kuwa na tabia hizo za kibinadamu?
 
Pumzi ulionayo ni jawabu tosha
 
NAKAZIA
 
Kwa hiyo wewe unakataa uwepo wa Mungu?
IMG_20230212_031009.jpg

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
NALIA NGWENA nimekua nikijiuliza sana kuhusu hii mitihani ya mungu inayosingiziwa kila kukicha.

Mtu kafanya zinaa kakamatwa utasikia anasema "mungu kanipa mtihani wa kunipima Imani mke wangu/mume wangu"

Shekh/mchungaji anatafuna mke wa mtu/mume wa mtu akibainika lazima ajitetee kuwa ni mitihani ya mungu.

Jitu hakifanyi kazi limelala na njaa likikaa kijiweni linasema "hii mitihani ya mungu midogo tu nitaishinda"

Hiyo ni mifano michache tu ambayo nimeamua kuitumia katika kujenga hoja nakuwasilisha swali langu

Sasa Najiuliza mungu atatoaje mitihani kwa Mtu aliyemuumba yeye na wakati anatambua kabisa huyu hapimwi??

Au kauli ya neno mitihani ni la kufarijiana tu na Mungu yupo bize na Mambo yake Ila sisis huku tunafarijiana??

Nawasilisha hoja.
Imeandikwa, WATU WANGU WANAANGIZWA KWA KUKOSA MAARIFA!

Mabaya yanayoelekezwa kwa MUNGU ni namna tu ya kujitetea, lakini MUNG hayupo hivyo.

Yapo mengi ambayo wanadamu kwa kutokujua, wamekuwa wakimsingizia MUNGU.

Mtu kanywa pombe kupitiliza na kuishia kufa, halafu wengine wanasema, BWANA AMETOA, NA BWANA AMETWAA!!! Uongo kabisa.
 
Siyo kwamba mimi nakata uwepo wa Mungu, maelezo ya kuwepo Mungu yenyewe yanajipinga au kupingana na uhalisia tunaouona kwa namna ambayo inadhihirisha kuwa huyo Mungu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu (muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote) yupo.
Kifupi ni kwamba hapo ulipo unasumbuliwa na mapepo tu wewe si bure.
Jiulize kwanza kwamba kwa nini Kuna uchawi na wachawi?
Kwamba mtu anasafiri kwa ungo na anafika na kurudi.
Sasa yupo sasa muweza wa yote kuliko hata wachawi.
Naye ni Mungu.
 
Back
Top Bottom