TUTU wa Jijia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 727
- 566
mh!!! hebu fafanua zaidiMabere naumwa, kipindi cha kampeni kuna bahasha alitumiwa Lowassa, Mabere akaifungua, ndio ukawa mwanzo wa kuumwa kwake.
Hata CHADEMA ndio ishafikia hali ya NCCR , ni suala la muda tu, wenye CHADEMA wameishaanza kuwa kama MremaMrema hatamsahau Mabere Nyaucho Marando kisukuma Maziwa Viazi !!
MatembeleMrema hatamsahau Mabere Nyaucho Marando kisukuma Maziwa Viazi !!
mh!!! hebu fafanua zaidi
Hujaelewa nini?mh!!! hebu fafanua zaidi
Bahasha ilimfanyaje?Hujaelewa nini?
Hizi habari ni za uhakika?, naingia hofu kwa habari hiziMabere naumwa, kipindi cha kampeni kuna bahasha alitumiwa Lowassa, Mabere akaifungua, ndio ukawa mwanzo wa kuumwa kwake.
Mkewe kajifungua hivi karibuni?Nadhani atakuwa anamlea mwanaye Bite
PumbaMabere naumwa, kipindi cha kampeni kuna bahasha alitumiwa Lowassa, Mabere akaifungua, ndio ukawa mwanzo wa kuumwa kwake.