Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,730
3,290
Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena.
Turudi kwenye Topic.

Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana muita Mturuki.

Ila bhna Ndio hivo TUKAACHANA NAE kama ilivyoandikwa MTAACHANA TU.

Mwanaume sikuvunga nikaopoa Pisi Nyingine ya Ki-Chagga Oya PISI Kaliiii mi kwenye Maswala ya kuchukua wanawake wakali Najikubali Sana sijawahi Kuyumba.

Sa nilichotegemea kwa uzuri ilionao lazima ningekua natoboka sana ila cha ajabu Pisi mwaka wa Pili saivi Hela haombi ombi kama ile nyingine yani hapa Kijuba mpaka najishitukia mwenyewe natuma tu.

Kuna day nikamtumia Hela kidogo hivi akaniambia Hela yote hii ya nini nikamwambia utafanyia Mambo yako akasema Asante..

Lakini akaongezea Pleaz naomba usinipe Hela kama Sijakuomba...Muhuni nikabaki Enheeeeee!!

But what daily kinachonichanganya nikua Uroda Napewa Tena Naitiwa kabisa.

Sa najiuliza inakuaje Hapendi Hela na ha ombi ombi kama yule mwingine au kama wanawake Wengine niwajuavyo mimi?
 
Nipe namba yake nimuulize mkuu
 
Jukumu la malezi ni la mzazi, kwahiyo wewe siyo mzazi wake, wazazi wake wanamtuza vizuri na wanamtosheleza, wewe pesa yako nunuwa dozi ya asali tu umfikishe basi.

By the way kwani mnatakaje, mkipigwa vizinga tabu uzi tayari, msipoombwa pesa pia tabu uzi tayari hivi nyinyi vijana wa leo mpo kwenye category ipi of creature?
 
Huyo muomba hela ndio mkweli kwako. Japo wanaume wachache wanaotambua. Huyu wa pili amekupenda japo kuna wenzako wanagharamia.

Iko hivi wanawake wote ni wapenda pesa isipokuwa wana namna zao. Mwanamke anayekupenda na anatamani uwe mume wake hakuonyeshi kuwa anapenda fedha. Kama hana kazi na kwao chokambaya ujue kuna mwenzako anaumizwa mfukoni. Yule wa kwanza hakukupenda na kukuomba hela maana yake hana hofu ya kukupoteza.

ANGALIZO:
Kama huyo mchaga ni Happy na uko Dar basi hata Mimi nilikutana nae. Ni mkali zaidi ya Wema Sepetu na aombi hela.
 
Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena.
Turudi kwenye Topic.

Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana muita Mturuki.

Ila bhna Ndio hivo TUKAACHANA NAE kama ilivyoandikwa MTAACHANA TU.

Mwanaume sikuvunga nikaopoa Pisi Nyingine ya Ki-Chagga Oya PISI Kaliiii mi kwenye Maswala ya kuchukua wanawake wakali Najikubali Sana sijawahi Kuyumba.

Sa nilichotegemea kwa uzuri ilionao lazima ningekua natoboka sana ila cha ajabu Pisi mwaka wa Pili saivi Hela haombi ombi kama ile nyingine yani hapa Kijuba mpaka najishitukia mwenyewe natuma tu.

Kuna day nikamtumia Hela kidogo hivi akaniambia Hela yote hii ya nini nikamwambia utafanyia Mambo yako akasema Asante..

Lakini akaongezea Pleaz naomba usinipe Hela kama Sijakuomba...Muhuni nikabaki Enheeeeee!!

But what daily kinachonichanganya nikua Uroda Napewa Tena Naitiwa kabisa.

Sa najiuliza inakuaje Hapendi Hela na ha ombi ombi kama yule mwingine au kama wanawake Wengine niwajuavyo mimi?
Inamaana kwamba wanaume mjiongeze kutupa hela pasi ya kuombwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo muomba hela ndio mkweli kwako. Japo wanaume wachache wanaotambua. Huyu wa pili amekupenda japo kuna wenzako wanagharamia.

Iko hivi wanawake wote ni wapenda pesa isipokuwa wana namna zao. Mwanamke anayekupenda na anatamani uwe mume wake hakuonyeshi kuwa anapenda fedha. Kama hana kazi na kwao chokambaya ujue kuna mwenzako anaumizwa mfukoni. Yule wa kwanza hakukupenda na kukuomba hela maana yake hana hofu ya kukupoteza.

ANGALIZO:
Kama huyo mchaga ni Happy na uko Dar basi hata Mimi nilikutana nae. Ni mkali zaidi ya Wema Sepetu na aombi hela.
Angalizo gani hilo sikia Mkuu kama wewe ulikula Mda wako ushapita Niheshimu Mimi saivi Ndio namiliki zigo😂😂

Na kama ulishindwa hata kumtia Mimba,Mwananume ndio naenda kufanya kilichokushinda😂
 
Back
Top Bottom