hapo mwisho umeongea kitu kuntuuu lkn mi cwez kumuomba mwanaume hela ,, kama hatojiongeza kimpango wake,, kwasababu anatakiwa kujua ana girl mzuri ,, so anahitaji matunzo,,, afu pia cku zote huto ona nimechakaa ng'oooo kwasababu najihudumia,, hata ukiniacha kesho nitaendelea kuwa bombaa,,, furaahaaa tu bhana ndo inayo hitajika mambo mengine mi naona cyo yalazima,, ridhika na hali ya mwenzio na hali yako pia ,,, hata kama nauza mboga mboga lazima nipendeze nita balance kipato changu lakini kuomba kwangu nooo,, duuur na sisi wadada tupunguze vibomu jaman