Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,516
Jifunze kuwa mbahili tu mkuu
HahaahhahahahKabla hujaombwa uwe unatoa
Kabla hujaombwa uwe unatoa
Ha haha, daah!Wewe unatoaga kitumbua kabla ujaombwa..?;?
Samahani..lakini
Umeona eehh..! Siye tunaotoa huwa hatuoni hili tatizo ila nikiombwa naumia sana..!Kabla hujaombwa uwe unatoa
Daah,hua nashindwa kataa,unakuta anakuomba ka hela kadogo had unajiskia aibu sometime,..mi sipend tu hyo confidenc yao ya kuomba,.na anaomba hzo ndogo ndogo mara nying nying,kwa wik znaeza fika lak,sasa kama una michepuko mi3Jifunze kuwa mbahili tu mkuu
Hahahah,kuna m1 alinijib kasagie mahind bas,hahahahMwambie tu mwanaume mashine kk
Nafanya sana hilo jambo,..ila,sasa wengne watam kwel,yaan unajikuta unatoa kishingo upande,ila sipendkiukweli hili swala limezidi sasa,, mimi nikiona dem anapenda pesa ,ni kula mzgo na kupotelea pasipojulkana
Hahahahahaha utamu unapenda ila kutoa hela hutak. .we bwana acha masiala aseeNafanya sana hilo jambo,..ila,sasa wengne watam kwel,yaan unajikuta unatoa kishingo upande,ila sipend
Mzinga unajulikana,na shida inajulikana,sasa mtu unamwona kabsa yuko fresh financialy,au mnafanya kaz sehem1,ila yeye anaomba hela,mara heb ntumie elf30 nataka nilipe maj,unataka nambia yeye hana hyo hela?au anataka atumie zako tuuMkuu ,mie. Naomba kuuliza , mpaka mwanamke unamuona anakupiga mizinga ( mwanamke wako kabisaaaa) ..inakuaje yaan ??? I mean kitu gan mpaka kinakufanya ujue huu ni nimzinga ??? Hii nikweli anauhitaji ???.
Kutoa tunatoa,lakn si uhusiano wa wik1 au mbili unaanza kuomba hela,au sometime mmejuana sk2 tu mnachat,mara utaona "my naomba kahela hapo ninunue umeme"..tabia gan sasa hii,inamana yeye anataka atumie zako zake zikaeKabla hujaombwa uwe unatoa
Hahah!Hali inakuwa mbayaDaah,hua nashindwa kataa,unakuta anakuomba ka hela kadogo had unajiskia aibu sometime,..mi sipend tu hyo confidenc yao ya kuomba,.na anaomba hzo ndogo ndogo mara nying nying,kwa wik znaeza fika lak,sasa kama una michepuko mi3