Hivi mwanamke bila kuomba hela hakuna maisha?

Hivi mwanamke bila kuomba hela hakuna maisha?

Umeona eehh..! Siye tunaotoa huwa hatuoni hili tatizo ila nikiombwa naumia sana..!
Umemjib vzur,kutoa hua tunatoa,ila,sasa tunavutaga hata viwik vi3 vya uhusiano,sasa mtu wik tuu ushaanza vizinga
 
Ndo tatizo la kusubiria uombwe ungejiongeza tu
My babe kapeace,upo??...asee hawa wenzio hawajui zama zmebadilika,angalau zipite hata wik3 za uhusiano ndo uanze kuomba,hapo mi nakua naanza kukupa mwenyew baada ya wik mbili,sasa chating tuu inakuja na "alaf my nkwambie kitu"nkionaga hiv tuu nazima data.
 
Kwendeni huko mkiombwa hamtoi ngoja muwe na minyege yenu mpka mnalia afu kama mtu ni msichana wako akikuomba kwann uone anakupiga mzinga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna wengine unadate nae miezi 10 bila mzinga wowote na wala hajishtukii unawasaidiaje na hao????
 
Mwanaume pesa bhana usisubiri kuombwa, hata kidogo uliyonayo unaumpa kwani hujui na yeye ana uhitaji wa pesa kama ulivyo na uhitaji na yeye pia anahitaji
 
Kwendeni huko mkiombwa hamtoi ngoja muwe na minyege yenu mpka mnalia afu kama mtu ni msichana wako akikuomba kwann uone anakupiga mzinga
Tatzo mnaomba saaana..sjakataa kumpa dem wangu hela,ila sasa kuna ile mmejuana ndo mnaonana hata wik mbili hamja mature,unashangaa unaombwa hela,..mi dem nkidum nae for 3months yaan atafurah,kwanza atakua anaona hata aibu kuomba maana ntakua nampa sana tu
 
afu mbona hamlalamiki kuhusu kupewa tamu kupita kias.Msiwe wabahili vijanaaa,mtakufa watumie wengine.Si bora unipe mie ninaekupa pia
 
Back
Top Bottom