Hivi mwanamke bila kuomba hela hakuna maisha?

Hivi mwanamke bila kuomba hela hakuna maisha?

Mwanaume pesa bhana usisubiri kuombwa, hata kidogo uliyonayo unaumpa kwani hujui na yeye ana uhitaji wa pesa kama ulivyo na uhitaji na yeye pia anahitaji
Kwahyo mim namhitaj yeye kimahusiano nayeye ananihitaj mim kipesa,..bas sawa,kama ndo mfumo ni huu kwasasa,bas sawa
 
Siku hizi hata ukimwambia mambo hakuachi anakupigisha story mwisho wake anaomba ela ya saluni.. Kama huwezi kutunza nywele si unyoe tu...
 
Hapo sawaa kwa muda wa miezi 3 inabidi umpate mvumilivu hasa kama mimi
Na ndo tunatafta hawa wavumiliv,dem akishaanza kuomba pesa mapema,mi najua kabsa huyu amekuja kuzichuma tuu,hata kama nampenda ntabadil gia hewan,ntampa anachotaka nakumla nakumwacha..na huo ndo utakua mtindo wa maisha
 
Hapa tutaenda kwa mwendo huu huu wa kuviziana.. Ukijisahau napiga kitumbua then nasepa.. Tutakutana mechi ya marudio akipenda
 
Mzinga unajulikana,na shida inajulikana,sasa mtu unamwona kabsa yuko fresh financialy,au mnafanya kaz sehem1,ila yeye anaomba hela,mara heb ntumie elf30 nataka nilipe maj,unataka nambia yeye hana hyo hela?au anataka atumie zako tuu
Brother nakuakikishia ,,mwanamke hata km umemuoa nabado anakuzidi Kipesa ..huwezi amini atakuomba hela tu.

Ndivo walivyozaliwa...minadhan kama nimwanamke wako haina haja yakutulia shaka hitaji analokuambia ,unless awe ni" demu"
.
 
Brother nakuakikishia ,,mwanamke hata km umemuoa nabado anakuzidi Kipesa ..huwezi amini atakuomba hela tu.

Ndivo walivyozaliwa...minadhan kama nimwanamke wako haina haja yakutulia shaka hitaji analokuambia ,unless awe ni" demu"
.
Sawa mkuu,ila mi hapa nawaongelea michepuko,..hawa njia kuu ni sawa akiomba hela,kwanza mi dem wangu ambae ndo njia kuu hata akiombaga huwa siwazi saana, hawa wengne sasa naotaka kubadil ladha sasa daah had kero
 
Sawa mkuu,ila mi hapa nawaongelea michepuko,..hawa njia kuu ni sawa akiomba hela,kwanza mi dem wangu ambae ndo njia kuu hata akiombaga huwa siwazi saana, hawa wengne sasa naotaka kubadil ladha sasa daah had kero
Safi hapo tuko pamoja kaka.
 
afu mbona hamlalamiki kuhusu kupewa tamu kupita kias.Msiwe wabahili vijanaaa,mtakufa watumie wengine.Si bora unipe mie ninaekupa pia
Hahahah,ni bora nkupe wew unaenipa utamu ,hahah,kuna ka ukwel,lakin sasa usiombe haraka hvyo,we hata wik haijapita unapiga vizinga
 
Sasa hivi imejengeka kuwa tabia kwa wanawake mostly kuanzisha urafiki wa kimahusiano na mtu ila kwa lengo la kujinufaisha kwa mizinga isiyo na mwisho. Unaweza kutana na binti kwenye social media mkafanya charting za kutosha tu, akiona umejaribu kuonyesha interest kidogo basi kesho hakawii kukwambia hana hata hela ya kwenda lunch au anaomba unitumie nauli aje.

Hiyo inadhihirisha kuwa wanaouza huduma ni wengi ila utofauti upo kwenye maeneo ya kuuzia huduma.

Mambo haya athari zake huwezi kuziona kwa sasa ila umri unapokwenda na huna vision ya kuolewa na hakuna anayejaribu hata kukupa hiyo a hadi zaidi ya kupigwa katafunua, hapo unaanza kushinda JF kila siku kutafuta bwana.

Punguzeni mizinga isiyo ya lazima, kumbuka money may buy sex but not love, love needs a loyal heart
hapo mwisho umeongea kitu kuntuuu lkn mi cwez kumuomba mwanaume hela ,, kama hatojiongeza kimpango wake,, kwasababu anatakiwa kujua ana girl mzuri ,, so anahitaji matunzo,,, afu pia cku zote huto ona nimechakaa ng'oooo kwasababu najihudumia,, hata ukiniacha kesho nitaendelea kuwa bombaa,,, furaahaaa tu bhana ndo inayo hitajika mambo mengine mi naona cyo yalazima,, ridhika na hali ya mwenzio na hali yako pia ,,, hata kama nauza mboga mboga lazima nipendeze nita balance kipato changu lakini kuomba kwangu nooo,, duuur na sisi wadada tupunguze vibomu jaman
 
Sababu kubwa ya wanawake kudai usawa ni kutokana na wanaume kushindwa kutimiza wajibu wao.......bado wanaume hatujui maana ya kuumbwa mwanaume....hajui sababu ya kuwa na kifua kipana na sauti nzito kama ya simba......mwanamke anaomba hela kwa kutimiza wajibu wa maumbile yake....kwani kwake yeye kumuomba mwanaume kitu ingawa yeye anacho kikubwa ni raha kwake.......
haswaaaaa umenena kaka,, wambie hao
 
Back
Top Bottom