mfwimijr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 203
- 152
Sasa hivi imejengeka kuwa tabia kwa wanawake mostly kuanzisha urafiki wa kimahusiano na mtu ila kwa lengo la kujinufaisha kwa mizinga isiyo na mwisho. Unaweza kutana na binti kwenye social media mkafanya charting za kutosha tu, akiona umejaribu kuonyesha interest kidogo basi kesho hakawii kukwambia hana hata hela ya kwenda lunch au anaomba unitumie nauli aje.
Hiyo inadhihirisha kuwa wanaouza huduma ni wengi ila utofauti upo kwenye maeneo ya kuuzia huduma.
Mambo haya athari zake huwezi kuziona kwa sasa ila umri unapokwenda na huna vision ya kuolewa na hakuna anayejaribu hata kukupa hiyo a hadi zaidi ya kupigwa katafunua, hapo unaanza kushinda JF kila siku kutafuta bwana.
Punguzeni mizinga isiyo ya lazima, kumbuka money may buy sex but not love, love needs a loyal heart