Hivi mwaka ni miezi mingapi???

Mkuu hii "ryme" nilifundishwa primary:
Thirty days has September,
April ,June and November
Except February alone
Which has twenty eight days clear
And twenty nine in each leap year
All the rest have thirty one

Speak of "47" and yearly cyles
 
Mkuu hii "ryme" nilifundishwa primary:
Thirty days has September,
April ,June and November
Except February alone
Which has twenty eight days clear
And twenty nine in each leap year
All the rest have thirty one

Speak of "47" and yearly cyles
Bila kuongelea siku za mwezi mwaka unakuwa na miezi mingapi??kwakuwa watu wanasema january to january nimwaka!!je kweli??au January to December ndo mwaka!!
 
kwa maana hiyo december to december siyo mwaka??

Inategemea utaanza tarehe gani, kama Decemba 1 hadi December 1 (ya mwaka unaofuata) basi utakua mwaka, December 10 hadi December 10 (ya mwaka unaofuata) huo ni mwaka lakini kama tarehe tofauti basi itakua mwaka na zaidi au kasoro ya mwaka; kwa mfano December 1,2010 hadi December 31,2011 itakua mwaka na siku 30.
 
Mbona sasa hapo imekuwa miezi 13??1-December to 1-December,hesabu vizuri!!!
 
Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13?? Mfano December to December nimiezi 12??au 13??

mwaka huaza january mosi, na kushia dec 31- ndiyo miezi 12

kama hujaridhika na jibu langu rejea majira, uliyosoma shule, kuwa mwaka ni miezi 12, na huhesabiwa jan, feb, march,aprl, may . jun. jul,aug.sep. nov and dec. hiyo lugha ya dec to dec sijui uliisikia wapi???????
 
Mwezi ni idadi ya siku/wiki si idadi ya majina ya miezi unayo hesabu wewe katika huo mwaka. Ukichukulia hivyo basi wiki yako itakua siku 8 badala ya 7, siku yako itakua na masaa 25, saa moja yako itakua dakika 61 n.k..........
Au tuseme ya leo kali mkuu ? wamekuchanganyia nini ?
 
Ndo maana siku ya saba ni j'mosi!!na masaa siyo 24 should be 25!!!
 
Bila kuongelea siku za mwezi mwaka unakuwa na miezi mingapi??kwakuwa watu wanasema january to january nimwaka!!je kweli??au January to December ndo mwaka!!

Kakakiiza , umeuliza sawli ambalo to a casual observer looks innocent and simple.
Mwaka is a measurement of a time span kwa majira kujirudia.
To be precise, this is a hard question that has been cracking many skulls for ages toka kuumbwa kwa the thinking man.
What we have is a Calender year.
Kutokana na Gregorian observers na kwa miaka mingi iliyopita cycles za majira ziliweza kuwekwa kiutokana na observations za wakati huo

Ukipitia wikipedia, a Calender year observed is as follows:

Generally speaking, a calendar year begins on the New Year's Day of the given calendar system and ends on the day before the following New Year's Day. By convention, a calendar year consists of a natural number of days. To reconcile the calendar year with an astronomical cycle (which could not possibly be reckoned in a whole number of days), certain years contain extra days. Through further insertion of non-day units of time, the calendar year can be further synchronized; however, these extra units of time are not considered part of the calendar.
The Gregorian year begins on January 1 and ends on December 31 with a length of 365 days in an ordinary year and 366 days in a leap year giving an average length of 365.2425 days. This is very close to the average length of 76 Islamic calendar years (based on the average time between successive vernal equinoxes, currently 365.2424 days and increasing marginally). Other formula-based calendars can have lengths which are further out of step with the solar cycle, for example, the Julian calendar has an average length of 365.25 days, and the Hebrew calendar has an average length of 365.2468 days.
The astronomer's mean tropical year which is averaged over equinoxes and solstices is currently 365.24219 days, slightly shorter than the average length of the year in most calendars, but the astronomer's value changes over time, so William Herschel's suggested correction to the Gregorian calendar may become unnecessary by the year 4000.

Hizi Gregorian observations za Calender Year ni kutokana na mzunguko wa dunia kwenye jua, ambapo katika siku 365.2468, dunia inakuwa imekamilisha mzunguko wake wa degree 360, kuzunguka jua.

Kakakiiza leo tar 12/12/2010 bado siku 19 tu kumaliza mwaka.
 
Nimekugonge senks br ila kuna watu humu wameniona siyo kumbe wao ndo siyo asante kwakuwaeleza!!
 
Mfumo wetu wa kuelezea muda unakanganya sana.mfano kila mtu utakaye muuliza leo hii tuko mwaka gani atasema 2010,wakati kiusahihi kabisa tuko mwaka wa 2011 kasoro siku 19.itakapofika tar 1\1\2011 yaani saa 00:01:01(usiku) tutakuwa tumeanza mwaka 2012 ambao utakamilika tar 31/11/2011 saa 2359(usiku)
ukiona umechanganyikiwa kabisa jiulize kwanini tar 1/1/2000 tulisherehekea milenium mpya ya 3 na sio ya 2.
 
kitu cha arusha hakihitaji mixer

Kids puzzle!

Ni miezi 12 au siku 365.

Chukua mfano wako wa Disemba hadi Disemba.
Ukianzia kuhesabu Disemba 13 2010 then mwaka (au miezi 12 au siku 365) unaishia Disemba 12 2011
Ukianzia Disemba 31 2010 utaishia Disemba 30 2011

Angalia hii hapa.......
Ukianzia Januari 1 2011 utaishia Disemba 31 2011
Wee unadhani kwa nini Januari 1 2012 itakuwa mwaka mpya??

Have u noticed the general rule of thumb?? Simple, isn't it?.
 
Back
Top Bottom