chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 973
- 1,974
Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Nimeuliza tu mkuuOgopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu,safari ya kwanza ikazama.Fikiria shahawa zinakua MTU,mbegu inaota,unavuta hewa free.
Safi mkuuHakuna anayejua ukweli, tuliopo tunatishana tu.
Lakini sisiIt is completely irrational to regard the complexity of the human body and not infer that the will of an intelligent DESIGNER was behind it. if ages from now archaeologists unearth a ford pickup truck without having knowledge of its history and some insisted that the pickup had simply evolved on its own into existence , we would find that to be an absurd conclusion... which is more complex the human body or the ford pickup!? Sijui jibu umepata...
Kwa nini ajificheIt is completely irrational to regard the complexity of the human body and not infer that the will of an intelligent DESIGNER was behind it. if ages from now archaeologists unearth a ford pickup truck without having knowledge of its history and some insisted that the pickup had simply evolved on its own into existence , we would find that to be an absurd conclusion... which is more complex the human body or the ford pickup!? Sijui jibu umepata...
We mwenyewe Mungu, anza na wewe jiulize je! Mimi nipo au sipo?
NB:
Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake, that's means wewe pia ni Mungu katika mfano wake. Sasa jiongeze hapo.
Mungu yupo na mipango ya watu ipo
Wewe mwenyewe ni Mungu ndio maana ukimwaga mimba inatunga, umeumbwa kwa mfano wake, mfano namba moja ni kuuendeleza uumbaji wake.Yupo mkuu ila hayupo kma tunavyoaminishwa kwenye din
Mkuu unataka uone nn? ili uthibitishe kuwa yupo?! unataka kumwona kwa macho yako?? kumbuka alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu anaweza kumuona akaishi..Lakini sisi
Kwa nini ajifiche
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝Mungu yupo na mipango ya watu ipo
Una makosa makubwa sana kwamba hadi umefikia hatua hii bado hujaweza kujua kama Mungu yupo au hayupo.Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Lakini sisiIt is completely irrational to regard the complexity of the human body and not infer that the will of an intelligent DESIGNER was behind it. if ages from now archaeologists unearth a ford pickup truck without having knowledge of its history and some insisted that the pickup had simply evolved on its own into existence , we would find that to be an absurd conclusion... which is more complex the human body or the ford pickup!? Sijui jibu umepata...
HaYupo mkuu ila hayupo kma tunavyoaminishwa kwenye din
Kuuliza sio ujingaUna makosa makubwa sana kwamba hadi umefikia hatua hii bado hujaweza kujua kama Mungu yupo au hayupo.
Kwa stage hii uliyopo sasa, ulitakiwa uwe taryari umeshahakikisha kama aidha Mungu yupo au hayupo na hivyo hukutakiwa tena kuuliza swali la namna hii
......alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu anaweza kumuona akaishi......Mkuu unataka uone nn? ili uthibitishe kuwa yupo?! unataka kumwona kwa macho yako?? kumbuka alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu anaweza kumuona akaishi..