Hivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini?

Hivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini kufukuzwa ili upate cheo chake?haya mambo sidhani kama wazungu wanayo.ndo maana hatuendelei .chuki na ubinafsi kila mahali.hali ilivyo ngumu saivi bado mtu anakufanyia fitna ili ufukuzwe kazi.na walaaniwe wote wenye tabia hizo
Hiyo ni roho ya kishetani.
 
Ukiona wenzako wanakuchongea kazini inatakiwa ujichunguze, unakuta MTU anafanya kazi na watu wengine ,wanapiga madili ya Pesa ila Pesa anachukua yote yeye kisa msimamizi Wa kitengo,hawezi fikiria wenzake nao wanafamilia wanatafuta ili familia zao nao zipate nafuu ya maisha, sasa ww unaona ufahari kunemeka peke yako kwa nini nisikulipue, thamini wenzio nawe utathaminiwa.
Hivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini kufukuzwa ili upate cheo chake?haya mambo sidhani kama wazungu wanayo.ndo maana hatuendelei .chuki na ubinafsi kila mahali.hali ilivyo ngumu saivi bado mtu anakufanyia fitna ili ufukuzwe kazi.na walaaniwe wote wenye tabia hizo
 
Ameuliza swali unachopaswa kufanya ni kujibu kama huna cha kujibu funga kinywa.
usinifundishe nini cha kucomment, nini nisiComment, nimeComment bila kuvunja sheria ya JF hata moja, mwenye thread amekaa kimya na ameelewa nini nilichoongea.
Usipende kuingilia mambo yasiyo kuhusu kama unaona unawashwa jifunze kupita tu.. ukiendelea na hizo tabia mtajikuta mmebalishwa jinsia.. shwaiiiinnn..!
 
Hivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini kufukuzwa ili upate cheo chake?haya mambo sidhani kama wazungu wanayo.ndo maana hatuendelei .chuki na ubinafsi kila mahali.hali ilivyo ngumu saivi bado mtu anakufanyia fitna ili ufukuzwe kazi.na walaaniwe wote wenye tabia hizo
Lazima uelewe kuwa hiyo "kuchongea" ina maana gani? Halafu kwa nini unafananisha eti na wazungu. Fala kweli. Kama mtu anaharibu kazi ni aende tu
 
Mkuu unajua wakati mweingine unakuwa hauna jinsi tu mimi hapa nina wasichana tangu Kampuni iwe chini yangu wenye kampuni kurudi kwao maana hii ni branch tu.

Wao kuja kazini mpaka wajisikie na mishahara na allowance zote wanapewa ila hawana moyo wa kazi ninao uwezo wa kuwafukuza kazi ila nawaza pia je nikiwafukuza mishahara yao itaongezwa kwangu jibu ninalolipata naona bora waendelee.
Nilishawasema lakni hawabadili kama nipo peke yangu ofisini watu washazoea kazi .

Nao nikiwachongea watakuja kutoa uzi kama huu ili kunilaumu.
Aina hii ya uongozi ndio iliua mashirika yote ya uma.
Tubadilike Watanzania!
Kama mtu hawajibiki inavyotakiwa aadhibiwe kisheria bila kumwonea au kumwogopa.
Tukiendekeza aina ya uongozi kama huu wako, tutaliua hili taifa.
 
ilikuwa ya mauaji au ticha kutafuna denti???

Mi naona afdhali wewe unayefanyiwa figisu ya kufukuzwa, mimi niliyofanyiwa ilikuwa ya kufukuzwa kazi na kufungwa miaka 30 au maisha. Nashindwa hata kusimulia ila watu tuna roho mbaya kupitiliza.
 
usinifundishe nini cha kucomment, nini nisiComment, nimeComment bila kuvunja sheria ya JF hata moja, mwenye thread amekaa kimya na ameelewa nini nilichoongea.
Usipende kuingilia mambo yasiyo kuhusu kama unaona unawashwa jifunze kupita tu.. ukiendelea na hizo tabia mtajikuta mmebalishwa jinsia.. shwaiiiinnn..!
Shida yako unamaliza mwaka na viloba kichwani.

Back
Top Bottom