Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Wamealikwa nyumbu wa Lumumba
 
Nikatika kuhangaika kuficha unyama waliofanya kwa mtu waliempiga risasi kisha wakamvua ubunge!

Watafanya hata mambo ya kipuuzi zaidi!
 
Hahahaha...
Mtabakia mnalalamika tuu..kama madebe matupu..
Mbuga inazinduliwa and hakunakitu mtafanya..
 
Watoto wadogo kama ninyi kuuliza ni vizuri maana mambo mengi mumeyakuta yalishafanyika zamani.


Ni muhimu kuzindua na ndio kutangaza utalii kwenyewe.

Wanyama wanahamishwa na kupelekwa maeneo tofauti tofauti duniani kote.
Wengine wanachukua toka nje ya nchi ili kuzalisha na kurudisha.
 
Lakini atakuwa Raisi wa kwanza kuzindua mbuga, nadhani haijawahi kutokea au??
 
Kwani mkoa wa Geita, Songwe, Njombe, mji wa serikali ilizinduliwaje?

It's about status nikka hata mambele vipo vingi, me mwenyewe nilimzindua mchepuko kwenda status nyingine himilivu zaidi
 

Ukisaka kiki huna muda wa kuangalia jambo.
 

Subirini Simba afyatuke huko aliko aondoke na ama Kalio au Kolomero la Mkemia ndipo mtajua Wanyama huwa hawatanii Mbugani.
 
Lakini atakuwa Raisi wa kwanza kuzindua mbuga, nadhani haijawahi kutokea au??
Watu wanazindua hadi sanamu sembuse na mbuga. By the way he is doing something unique sio lazima ukopi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…