Hivi msemaji wa Ikulu ni nani?

tulishasema kuhusu hiyo website tukachoka..

mie ningekuwa Jk ningeshamfuta kazi Rweyemamu and all..

kazi yao kumtetea tu Mamvi..ishu ya RDC ni uozo mtupu...F"*@##

Kikwete ana ubavu wa kumfukuza kazi mtu aliyeingizwa pale na papa fisadi RA? Ataanzia wapi? RA anaweza kabisa kumjia juu maana yeye ndiye aliyeshika 'utamu'
 
Kwa kweli nchi yetu inaendeshwa kienyeji mno! Haijalishi kama kuna kijana mwenye akili kuliko wote TZ kama wengine mnavyodai au kina uncle Salva na Mzee Luhanjo. Je, kuna mechanism yeyote ya kuandaa taarifa ya Ikulu au kila mtu mradi yuko pale anaongea tu? January, Salva, Luhanjo n.k. Wote wamekaa kwa favours pale Ikulu...
 
cat.jpg
 
swali la msingi nani msemaji mkuu wa IKULU?

Swali la msingi ni nani anamteua msemaji mkuu wa Ikulu halafu linalofuatia ni nani aliteuliwa kuwa msemaji mkuu wa Ikulu na la mwiso ni je huyo mteuzi wa msemaji mkuu wa Ikulu anaridhika na kazi yake ? Sasa ikitokea kuwa wasemaji wakuu wa Ikulu ni zaidi ya moja na huku ilipaswa awe moja na mteuzi harekebishi hali hiyo, basi tuna tatizo kubwa na mteuzi na si hao wasemaji - QED.
 
Kuongea kingerez sijui kigumu na kizuri ndio una akili? Hivyo wale wanaoongea kiswahili kigumu na kizuri ukanda wa mwambao nao wana akili kushinda wabongo wengine? Hivi tutaelimika lini na kujua tofauti ya lugha na elimu. Angalia watangazaji vihiyo wa TV na redio they have no clue of what they are doing, hawafanyi research za issue unakuta wanainterview mtu na kuuliza maswali ya kijinga au kurudia alichosema mtu anayemuinterview. Ukiuliza alipewa kazi kwa vile anajua kiingereza, sio kuwa na degree na background ya kazi anayopewa.
 
Mkuu ni kwamba, hakuna msemaji wa Ikulu bali kuna Katibu Mkuu Kiongozi kazi zake mojawapo kuongelea Ikulu, mwandishi wa habari wa Rais labda yeye kuandika na kutoa habari za Rais, Mkurugenzi wa Habari Ikulu labda kumsomea magazeti Rais.

Wizara ya Habari yenyewe kufungia magazeti na MAELEZO nadhani kuandaa press conference.

Kati ya hizo ni nani msemaji wa Ikulu?
 
Kuongea kingerez sijui kigumu na kizuri ndio una akili? Hivyo wale wanaoongea kiswahili kigumu na kizuri ukanda wa mwambao nao wana akili kushinda wabongo wengine? Hivi tutaelimika lini na kujua tofauti ya lugha na elimu. Angalia watangazaji vihiyo wa TV na redio they have no clue of what they are doing, hawafanyi research za issue unakuta wanainterview mtu na kuuliza maswali ya kijinga au kurudia alichosema mtu anayemuinterview. Ukiuliza alipewa kazi kwa vile anajua kiingereza, sio kuwa na degree na background ya kazi anayopewa.

MNDEE<
Hoja zako zimejaa changamoto.
Heri ajuaye.
 
Hivi january makamba kazi yake ni nini Ikulu?

Salva Rlweyemamu kazi yake ni nini Ikulu?

Katibu kiongozi Luhanjo kazi yake ni nini Ikulu?
 
GT mtu mzima na anayejifanya mjuzi kama wewe hawezi kutoa statement ya kipuuzi kama hii!! Huyu kijana unayemuita genius amefanya nini cha kustahili kuitwa mwenye akili kuliko vijana wote Tanzania? GPA yake huko alikosomeshwa na wamisionari usiowapenda ilikuwa ngapi? Mbona kiingereza chake kwenye contribution zake kwenye blog yake kinapwaya sana. Acha kujipendekeza kama vyeo wamekwisha kupa!!

Balesi,

lakini GT hajamgusa kabisa Makamba.Unamrukia bure
 
Kwa kweli nchi yetu inaendeshwa kienyeji mno! Haijalishi kama kuna kijana mwenye akili kuliko wote TZ kama wengine mnavyodai au kina uncle Salva na Mzee Luhanjo. Je, kuna mechanism yeyote ya kuandaa taarifa ya Ikulu au kila mtu mradi yuko pale anaongea tu? January, Salva, Luhanjo n.k. Wote wamekaa kwa favours pale Ikulu...

Ina maana yule jamaa aliekuja na post ya kusema wanaompaka raisi mafuta ya mgongo, kweli ni msemaji wa Ikulu "Phillemon Luhanjo" mi nilijua mshabiki tu kwa ulopokaji aliouandika kwani hata kama alikua akidai JK si wa kulaumiwa bali ni mzembe wa kupiga sahihi bila yakufuatilia contract zenyewe.

Hapana bwana msemaji wa Ikulu hawezi andika pumba zile za kusema JK ni mzembe wa kusoma mikataba anayo isahihi na kuipiga mihuri. kama ni hivyo hiyo hatari labda kazi iende kwa G.the au Koma kwani they do a better job of defending the president in this forum than that guy.
 
Na Katibu Mkuu kiongozi nae ni msemaji wa Ikulu? ulimuona juzi akijaribu kuisafisha Ikulu kwenye issue ya Richmond
 
January ni mdogo sana pale kuna ile mizee ambayo haitaki changes zozote zile na wanamona January as a threat

Sielewi mtu anawezaje kufanya kazi katika mazingira kama yale

Na unaambiwa hilo tatizo liko all over idara zote za SIRIKALI

Umushoshoro,Je unataka GT amguse January kiasi gani? Ana uwezo gani wa kumfanya awe threat kwa wengine wote pale Ikulu?
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=5cPYt6DlcxQ[/ame]

Hivi SALVA haoni wenzake wakiwa kazini?

au tuseme SALVA is camera shy?

narudia sijamgusa wala kumuongelea January nashangaa kwa nini kaletwa kwenye hii issue
 
Last edited:
Ikulu?
Msemaji wa Ikulu?
Ikulu ni nini?
Mnikulu?
Mkulu?
Ofisi ya Rais?
Msemaji wa Rais?
Ofisi ya Rais ipo/haipo?
Katibu Mkuu Kiongozi? kwanini awe Ikulu?
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (not katibu mkuu kiongozi)
Afisa Habari wa Ikulu au Ofisi ya Rais?

Ok, nimepiga ramli kidogo hapo juu na kubaini kuwa msemaji wa Ikulu ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu.
 
Mazee kwa majirani pale naona kunaumuhimu wa watu kusema kwaniabaya yao....mkuu hebu elekeza masikio ktk michapio/jazba...from 1:50......

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=7KXd5Rq41v4[/ame]
 
Dr Mutua ndio kichwa kipaza sauti cha serikali ya kenya hasa.....mwana mdogo mkali sana.....

Kwa Tz nasikia January nae mkali anajua kiingereza vizuri mbona sioni ukali wake..... Kazi nae kushinda na magwanda ya kijani kama luteni Yusufu
 
Msemaji wa serikali ni nani

Msemaji wa Ikulu ni nani

Waziri wa habari naye haijuilikani anafanya kazi gani

The bottom line kila mtu anaongea

http://www.statehouse.go.tz/

hiyo haijafanya kazi huu mwaka wa tano sasa

hawa jamaa they must be a bunch of comedians ambao hawajui hata wanachokifanya maana kila mtu anaongea na hakuna aliye na authority matokeo yake JK anaonekana useless kumbe hawa jamaa kwenye presidency ndio ovyo

yap! I've said it

du kakA unaweza vipi kutofautisha ubovu wa ikulu na serikali kwa ujumla na mpangaji aliyemo ndani!! we cannot be this low...na tukubali tu...maana this now is becoming a comedy...mara ooh mawaziri wanamuangusha,watendaji wa umma wanamuangusha .....sasa bila yeye kujenga na kusimamia taasisi imara ya utawala ..mnafikiri hata angekuwa malaika angeweza kuwepo kila mahali kufanya kazi ????
....MANENO yapo hapo juu yanadhihirisha japo kimoyomoyo kwa KAKA jk ameshindwa kaazi ..na kama anataka kukamilisha ajenda zake ni lazima ajenge taasisi imara ....ya ushindi ...na kuacha kutumia wapambe wake kulaumu mawaziri na watendaji wake kuwa wanamuangusha....lawama kwa watendaji!!!...sifa japo kidogo [mfano kwa vipimo vyake taifa stars,vita juu ya ufisadi,[except wanamtandao],majambazi na uhalifu]....ziende kwake!!!....winner take it all man...including sifa na lawaama!!!
 
JK nchi imemshinda siku nyingi....hata kabla hajaingia....analazimisha aingie second round...sijui anaogopa nini kupumzika??maana anaumwa.....na baada JK itakuja kuwa vita kali sana ya term 2 madarakani.....haitakuja kuwa kuachiaana term ya 2 hakuna hiyo....ukiharibu out JK wa mwisho na kubebana kwake na maswahiba mafisadi.......tunataka wazalendo sio maswahiba.....
 
Back
Top Bottom