Hivi msemaji wa Ikulu ni nani?

Hivi january makamba kazi yake ni nini Ikulu?

Salva Rlweyemamu kazi yake ni nini Ikulu?

Katibu kiongozi Luhanjo kazi yake ni nini Ikulu?

Yo Yo,

Hivi kuna job title za hawa jamaa kwenye system nzima ya Ikulu au mtu akiamka leo anatangaza cheo kipya kwa sababu anaye mtu au kaletewa mtu wa kumpachika? Na kama zipo, kuna "job description zao?

Mwisho naomba mwenye uelewa anisaidie, "MISSION na VISION" ya JK katika kipindi cha miaka 5 au 10 ya urais wake ni ipi?
 
Dr Mutua ndio kichwa kipaza sauti cha serikali ya kenya hasa.....mwana mdogo mkali sana.....

Kwa Tz nasikia January nae mkali anajua kiingereza vizuri mbona sioni ukali wake..... Kazi nae kushinda na magwanda ya kijani kama luteni Yusufu
kiingereza na utendaji wa kazi wapi na wapi?
 
Tunaona ikulu za nchi za wenzetu kama USA na mataifa mengne yanakuwa na msemaji wa raisi au ikulu.
Lakn hapa kwetu sijawahi kumsikia msemaji wa ikulu.
Au labda ni kutokujua kwangu?
 
Aaaaaa!!! Awaeleweki leo utasikia uyo rweymam kesho ombeni sefue usishangae kesho kutwa ukasikia john komba, lazima tuwe na msemaji mmoja ikulu ni sehemu takatifu sio pakutoa habari ovyo ovyo kama katika mkutano wa hadhara
 
Aaaaaa!!! Awaeleweki leo utasikia uyo rweymam kesho ombeni sefue usishangae kesho kutwa ukasikia john komba, lazima tuwe na msemaji mmoja ikulu ni sehemu takatifu sio pakutoa habari ovyo ovyo kama katika mkutano wa hadhara
Mara utasikia mtu wa idara ya habari maelezo naye anaisemea ikulu sasa kesho usishangae ukasikia Nape naye anatoa taarifa za ikulu. Hovyo hovyo tu!
 
Back
Top Bottom