Hivi msemaji wa Ikulu ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi msemaji wa Ikulu ni nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Aug 7, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Tazama mwenzao ALFRED MUTUA wa KENYA akiwa mzigoni

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=5cPYt6DlcxQ[/ame]
  Website hawana

  Msemaji wa serikali ni nani

  Msemaji wa Ikulu ni nani

  Waziri wa habari naye haijuilikani anafanya kazi gani

  The bottom line kila mtu anaongea

  http://www.statehouse.go.tz/

  hiyo haijafanya kazi huu mwaka wa tano sasa

  hawa jamaa they must be a bunch of comedians ambao hawajui hata wanachokifanya maana kila mtu anaongea na hakuna aliye na authority matokeo yake JK anaonekana useless kumbe hawa jamaa kwenye presidency ndio ovyo


  yap! I've said it
   
  Last edited: Aug 8, 2009
 2. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lakini si unajua jinsi hawa wasemaji walivyopatikana? Na hasa yule kinara wao ambaye barua yake iliwekwa hapa JF. Ikulu inavuna ilichopanda
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Unajua saa zingine hawa jamaa ndio wanamfanya JK aonekane hana maana kumbe tatizo ni kila mtu anataka apewe publicity
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hapana mzee. Tatizo ni lake (JK) mwenyewe. Unategemea nini, ..."garbage in garbage out", au?
   
 5. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Umesahau pia kuna idara ya MAELEZO.
   
 6. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  tulishasema kuhusu hiyo website tukachoka..

  mie ningekuwa Jk ningeshamfuta kazi Rweyemamu and all..

  kazi yao kumtetea tu Mamvi..ishu ya RDC ni uozo mtupu...F"*@##
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Genius January Makamba...huyu jamaa ana akili sana aisee kwa sababu anaongea English nzuri na ngumu sana
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kama una ubavu ndenda kafukeze houseboy aliyeletwa na ma-wife!
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ndicho kipimo cha akili?
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Oh yeah ulikuwa hujui kuwa ukiongea kiingereza kigumu na kizuri ndio una akili? January genius flani...jamaa kasoma IVY league za Marekani
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  January ni mdogo sana pale kuna ile mizee ambayo haitaki changes zozote zile na wanamona January as a threat

  Sielewi mtu anawezaje kufanya kazi katika mazingira kama yale

  Na unaambiwa hilo tatizo liko all over idara zote za SIRIKALI
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  January genius wewe....jamaa ana akili kushinda vijana wote Tanzania nzima
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  swali la msingi nani msemaji mkuu wa IKULU?
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Omega,

  Sikujua na wala sitajua. Je nikionge kiswahili kigumu sina akili? Na nikiongea Danish au French? Na au nikiongea kisambaa?
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sina hakika kama nina jibu lakini, natamani kuuliza kwamba, nani huwa anaisemea Ikulu ya Dar? Au Ikulu yetu ni bubu?
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  No ni kiingereza tu
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  GT ukweli ni kwamba sio wanamfanya aonekane hana maana bali ukweli ndio huo,yeye mkulu angekuwa makini hawa wapambe wake pia wangekuwa sharp!! Sasa anavuna matunda ya "Mtandao". Ninahisi katika kipindi cha utawala wake ataiachia nchi legacy ya "USANII".
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  GT mtu mzima na anayejifanya mjuzi kama wewe hawezi kutoa statement ya kipuuzi kama hii!! Huyu kijana unayemuita genius amefanya nini cha kustahili kuitwa mwenye akili kuliko vijana wote Tanzania? GPA yake huko alikosomeshwa na wamisionari usiowapenda ilikuwa ngapi? Mbona kiingereza chake kwenye contribution zake kwenye blog yake kinapwaya sana. Acha kujipendekeza kama vyeo wamekwisha kupa!!
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  makubwa haya!
   
 20. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Na GPA nayo si kigezo cha kupima ugenius, kwani kama amedesa na akapata GPA ya let say 5 or 4 utasema ni genius? Ma genius ni wengi TZ sema hawaendelezwi. Cheki Zitto Kabwe, sikwambii wengine ambao nyota zao hufunikwa kwa kua mafisadi uhofia ma genius. Nyerere also was a genius, kwa hiyo English si kipimo cha u-genius , u-genius unaangaliwa kwenye ubongo wa mtu anavyofikiri na kutenda, na hata hivyo we have so few genius over the world.
   
Loading...